stow away JF-Expert Member Joined Dec 5, 2022 Posts 11,073 Reaction score 21,945 Aug 17, 2024 #41 Waziri wa Kaskazini said: Lisu atahamia ccm atapewa uwaziri 2025 sheria na katiba.. Makonda atasalia kubaki kitandan maisha yake yote.. Click to expand... Nimekupiga Picha
Waziri wa Kaskazini said: Lisu atahamia ccm atapewa uwaziri 2025 sheria na katiba.. Makonda atasalia kubaki kitandan maisha yake yote.. Click to expand... Nimekupiga Picha
stow away JF-Expert Member Joined Dec 5, 2022 Posts 11,073 Reaction score 21,945 Aug 17, 2024 #42 MAJIYAPWANI said: Bongo bhana kwa iyo lissu akihamia ccm ndo ukali ww maisha utapungua hv tuwe wakweli kuna sehemu kuna rushwa km ccm? Click to expand... Mchezo huu hautakiwi kuwa na hasira wapiga Ngoma na wachezaji wanajua Ngoma inatudandaje
MAJIYAPWANI said: Bongo bhana kwa iyo lissu akihamia ccm ndo ukali ww maisha utapungua hv tuwe wakweli kuna sehemu kuna rushwa km ccm? Click to expand... Mchezo huu hautakiwi kuwa na hasira wapiga Ngoma na wachezaji wanajua Ngoma inatudandaje
The Khoisan JF-Expert Member Joined Jun 5, 2007 Posts 16,434 Reaction score 14,547 Aug 17, 2024 #43 edon66 said: Ww makala nguvu ya kusema CCM hawapendi RUSHWA unaitoa wap🤭 Click to expand... Pia anasahau kuwa hizo pesa za rushwa huko Chadema zimemwagwa na ABDUL na Mama yake.
edon66 said: Ww makala nguvu ya kusema CCM hawapendi RUSHWA unaitoa wap🤭 Click to expand... Pia anasahau kuwa hizo pesa za rushwa huko Chadema zimemwagwa na ABDUL na Mama yake.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Aug 17, 2024 #44 Makalla, mpokee vizuri nduguyo,ameteseka sana
kunguni masta Senior Member Joined Sep 10, 2016 Posts 142 Reaction score 179 Aug 17, 2024 #45 Mzee wa hovyo!!
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Aug 17, 2024 #46 Makala acha siasa uanze kupiga lamri.
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Dec 14, 2024 #48 Ni kawaida sana kwa wanasiasa kutembelea upepo wa wenzao. Ni kama boda2 aliyekata mafuta, anayepigwa tafu jeki ya mguu na boda2 mwenzie ili kumwahisha kituo cha mafuta. Hata Kamala alitembelea upepo wa Trump, mwisho wa siku ikala kwake.
Ni kawaida sana kwa wanasiasa kutembelea upepo wa wenzao. Ni kama boda2 aliyekata mafuta, anayepigwa tafu jeki ya mguu na boda2 mwenzie ili kumwahisha kituo cha mafuta. Hata Kamala alitembelea upepo wa Trump, mwisho wa siku ikala kwake.