Pre GE2025 Makalla: Lissu ni ndugu yangu yupo mbioni kuja CCM maana CHADEMA wanaendekeza rushwa wakati Lissu hapendi kabisa

Pre GE2025 Makalla: Lissu ni ndugu yangu yupo mbioni kuja CCM maana CHADEMA wanaendekeza rushwa wakati Lissu hapendi kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bongo bhana kwa iyo lissu akihamia ccm ndo ukali ww maisha utapungua hv tuwe wakweli kuna sehemu kuna rushwa km ccm?
Mchezo huu hautakiwi kuwa na hasira wapiga Ngoma na wachezaji wanajua Ngoma inatudandaje
 
Makalla, mpokee vizuri nduguyo,ameteseka sana
 
Ni kawaida sana kwa wanasiasa kutembelea upepo wa wenzao. Ni kama boda2 aliyekata mafuta, anayepigwa tafu jeki ya mguu na boda2 mwenzie ili kumwahisha kituo cha mafuta.

Hata Kamala alitembelea upepo wa Trump, mwisho wa siku ikala kwake.
 
Back
Top Bottom