Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Raila amefanikiwa katika haya maandamano kwa sababu taarifa za ndani zinadai tiyari Taifa la Kenya limepoteza zaidi ya Bilion Mbili leo hii.
 
Raila amefanikiwa katika haya maandamano kwa sababu taarifa za ndani zinadai tiyari Taifa la Kenya limepoteza zaidi ya Bilion Mbili leo hii.
Acha nikwambie ukweli. Mimi ndio Chongolo mwenyewe nimetumia tu ID nyingine kwa lengo lile lile la wanasiasa wa Tanzania kuhadaa.
Haya nipe sasa kijambo chako.
 
Akili yako ya hovyo sana .
Sijui ulienda shule zipi, sijui ni hizi za kata ?!
Viongozi wetu wengi Tanzania wamesoma shule za Serikali.
Chunga mdomo wako.

Ningekuwa na Akili ndogo ungenijibu? Kwa Akili yako unajibishana na Akili ya hovyo?


Mfyuuuuuuuuuuuuuu
 
Mimi kwenye kuandamana nitoeni siwezi kutumika kumpambania Mr big belly yoyote nitaandamana kama nyumba yangu itavunjwa

Wala hakuna anayewahitaji vijana wa hovyo wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili. Yaani hata usipotutaarifu mbona tuko vizuri tu?
 
Chezeeni Serikali na Dola zake.....isitoshe karibia kila uzi majivu yenu ni kudai kuwa akwilina alifanyiwa uovu. Mnalia kila siku....
Sasa mnataka Kina Akwilina wengine kwa sababu zenu binafsi.

R.I.P Akwilina
Bila machafuko hatutapata mabadiliko tutakayo. Huu utapeli wa maridhiano ni kupotezeana muda.
 

Tofautisha vijana hovyo ndugu. Hata huko Kenya wapo. Mbona tunatosha sana? Ni faraja mno kwao wakisikia kuwa nasi tutaacha. Tunaacha vipi? Hawa mbona tunazaa nao tu?
 
Acha nikwambie ukweli. Mimi ndio Chongolo mwenyewe nimetumia tu ID nyingine kwa lengo lile lile la wanasiasa wa Tanzania kuhadaa.
Haya nipe sasa kijambo chako.
nikiona chongolo na msukuma wanakugonga kijambio wewe na mamako kwa wakati mmoja nitakupa kijambia, punga wewe unafikir kila mtu anaakili kama zako.
 

Yeye chuma alikuwa mbele na familia yake kuzuia hayo maandamano?
 
Mbowe alisema amehangaika sana mwishowe Mali zake zimetaifishwa na Serikali amechoka ngoja naye alambe asali arudishe Mali zake.

Kwanini kufungamanisha ukombozi na majina ya watu? Kwani wewe ni mmoja wa wale vijana wa hovyo msiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili?
 
Makamanda gani? Hawa wa kukimbilia ughaibuni kisa Gwajima kasema neno?

Hakuna makamanda hapa Tz.
 
Dawa yenu picha ya jiwe tu tutaiweka kila sehem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…