Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo ndo nimejua kwanini Kenya huwa inatoa wanariadha bora.Kuna afande mmoja alikula gwala moja ya dunia kutoka kwa raia wa kunya hadi suruali akaiokotea magotini....😜😜😜
Odinga hajakimbilia ubelgiji dubai wala canada kama kina fulani...amekaza 😅😅
Acha nikwambie ukweli. Mimi ndio Chongolo mwenyewe nimetumia tu ID nyingine kwa lengo lile lile la wanasiasa wa Tanzania kuhadaa.Raila amefanikiwa katika haya maandamano kwa sababu taarifa za ndani zinadai tiyari Taifa la Kenya limepoteza zaidi ya Bilion Mbili leo hii.
Viongozi wetu wengi Tanzania wamesoma shule za Serikali.Akili yako ya hovyo sana .
Sijui ulienda shule zipi, sijui ni hizi za kata ?!
Tulizana mjomba. Mambo mazuri hayataki haraka:Inanikumbusha maandamano ya Ukuta, Polisi walipofanya tu mazoezi ya farasi na mbwa Mbowe akatimkia Moshi na kujifungia bandani.
We naye huna akiliWatanzania tunajielewa. Tunajua nani ana tutetea na nani ni mpigaji. Mtu alipiwe madeni yake arudi kutukana bodaboda alafu ajifanye mkombozi tumuelewe labda sio wabongo
Mimi kwenye kuandamana nitoeni siwezi kutumika kumpambania Mr big belly yoyote nitaandamana kama nyumba yangu itavunjwa
nobody notices the difference 😂!huna akili.
Bila machafuko hatutapata mabadiliko tutakayo. Huu utapeli wa maridhiano ni kupotezeana muda.Chezeeni Serikali na Dola zake.....isitoshe karibia kila uzi majivu yenu ni kudai kuwa akwilina alifanyiwa uovu. Mnalia kila siku....
Sasa mnataka Kina Akwilina wengine kwa sababu zenu binafsi.
R.I.P Akwilina
Sio picha ya Kenya hiyoooo
Ni bora wizara tatu nne lakin hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu ambao wakiambiwa kuandamana wanasema lissu atangilie na watoto wake, huko kenya mmeona mtoto hata mmoja wa Raila kwenye hayo maandamano? so nasema hivi hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu mpaka mtakapojitambua ndio makamanda watawapambania.
Sio picha ya Kenya hiyoooo
nikiona chongolo na msukuma wanakugonga kijambio wewe na mamako kwa wakati mmoja nitakupa kijambia, punga wewe unafikir kila mtu anaakili kama zako.Acha nikwambie ukweli. Mimi ndio Chongolo mwenyewe nimetumia tu ID nyingine kwa lengo lile lile la wanasiasa wa Tanzania kuhadaa.
Haya nipe sasa kijambo chako.
Nakumbuka makamanda waliambiwa kwenye maandamano wakae mbele ili wamwagwe mkojo vizuri...tangia hapo wakapoteana mazima 😊😊
Viongozi wenu walizoea kutanguliza masikini kama chambo huku wao wanatafuna ruzuku wakakutanana na Chuma. No asali ni pumzi ya moto tu 😅😅🔥🔥🔥
Mbowe alisema amehangaika sana mwishowe Mali zake zimetaifishwa na Serikali amechoka ngoja naye alambe asali arudishe Mali zake.
Makamanda gani? Hawa wa kukimbilia ughaibuni kisa Gwajima kasema neno?Yapo mengi ya kujifunza kwa nguli mpigania haki huyu:
1. Kutambua siasa ni sayansi yenye kubadilika kulingana na mazingira.
2. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda.
3. Maandamano yasiyo na ukomo ndiyo njia pekee ya kupata tunachohitaji na kwa wakati.
4. Hakuna nguvu iliyo kuu kuizidi nguvu ya Umma.
5. Maandamano hupangwa na kuratibiwa kikamilifu kuweza kufanikiwa na hata kufika kuliko dhamiriwa.
6. Maandamano hayawezi kuja spontaneous kama mvua.
7. Kwenye maandamano huwa casualties hawakosekani na anaweza kuwa awaye yote.
8. Raila au wakenya katika Mapambano si wajinga wanayo hoja na wanakijua wanachokipigania.
View attachment 2559513
Mafunzo mengine karibuni tuongezee.
View attachment 2559510
"Hatuna haja ya kupoteza muda na vijana was hovyo."
Hadi hapo:
"Shikamoo Raila Amolo Odinga."
Dawa yenu picha ya jiwe tu tutaiweka kila sehemYapo mengi ya kujifunza kwa nguli mpigania haki huyu:
1. Kutambua siasa ni sayansi yenye kubadilika kulingana na mazingira.
2. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda.
3. Maandamano yasiyo na ukomo ndiyo njia pekee ya kupata tunachohitaji na kwa wakati.
4. Hakuna nguvu iliyo kuu kuizidi nguvu ya Umma.
5. Maandamano hupangwa na kuratibiwa kikamilifu kuweza kufanikiwa na hata kufika kuliko dhamiriwa.
6. Maandamano hayawezi kuja spontaneous kama mvua.
7. Kwenye maandamano huwa casualties hawakosekani na anaweza kuwa awaye yote.
8. Raila au wakenya katika Mapambano si wajinga wanayo hoja na wanakijua wanachokipigania.
View attachment 2559513
Mafunzo mengine karibuni tuongezee.
View attachment 2559510
"Hatuna haja ya kupoteza muda na vijana was hovyo."
Hadi hapo:
"Shikamoo Raila Amolo Odinga."