Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

Usalama wa kimasilahi binafsi ni bora kwa kila mwanadamu mwenye uhai......
 
Kauli zake zinatia mashaka makubwa.

Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.

Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.

Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Asipodai yeye, wewe si uendelee kudai..?

Na wewe obviousily ni wa upande wa wale wa kijani CCM kuumiza na kubambikia wapinzani wenu wa kisiasa kesi za ugaidi wa uongo....

Wewe unajiona mjanja eti umeji - comouflage kwa avatar ya logo/brand ya CHADEMA na kuji - personify kwenye u - CHADEMA kwa kujiita jina la "KAMANDA" wakati unajulikana wazi kwa kauli na maandishi yako wewe ni wa kule wa kula na kulala kwa mama....

Na hapa unaandika kwa sababu tu umejawa na hisia hasi dhidi ya M/kiti ndg Freeman Mbowe na unajaribu kuchochoea wana - CHADEMA waondoe imani kwake....

This is too cheap ndugu. Tuko kwenye majira na nyakati za kizazi cha kufikiri na ku - reason. Nyakati za propaganda za aina hii unazofanya wewe zilishapita miaka mingi....
 
Putin amefurahishwa sana na uzi wako wa kutaka tusitegemee Mbowe kudai katiba mpya na kwamba ameshaingia kwenye kumi na nane za CCM,msikilize hapa.
Your browser is not able to display this video.
 
Kauli zake zinatia mashaka makubwa.

Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.

Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.

Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Familia zetu zinalala njaa eti mnataka kukomboa watu milioni sitini, familia ya mke na watoto wawili imekushinda
 
Unafikiri sero ni kitu kidogo eti muache tu mwenzio apumzike
 
Acha uongo
 
Watoto bwana
 
ccm ni watu wa ajabu sana yaan mtu mwenye akili hawezi kupinga mchakato wa katiba never sometimes naumia sana kuona
wanaotuongoza ni brainless than us...
 
Anayehitaji sana katiba mpya ni mwanasiasa, wananchi wa kawaida hawajui hata hii katiba ya sasa ina mapungufu gani
 
Ukiwaambiwa neno na mjinga na hilo neno ukaliamini basi wewe ni mpumbavu-Uknown.
 
Kauli zake zinatia mashaka makubwa.

Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.

Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.

Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Kwani Mbowe ndiye anadai katiba mpya wananchi hawaitaki?
Kwanini atolewe chambo kamanda kama vipi zamu yako sasa kukaa front na kuongoza madai ya katiba
 
Kwa hiyo wanaosema Mbowe anajipendekeza kwa Samia ni waongo? Manake kwa unachosema, Mbowe tayari yuko upande wa serikali.

Anyway, kwa Mbowe mengi yanasemwa na wanaCCM na mahasimu wake: Mbowe ni mchaga; anapenda pesa; hawezi kugomea ruzuku, ni mlevi wa Konyagi, ana mchepuko special, ananyanyasa kijinsia viti maalum, anakula ruzuku ya chama, anakula pasenti mishahara ya wabunge, anakilangua chama, ni gaidi, ni kibaraka wa mabeberu, muuza ngada, ni mhaini, ni system, Memba wa deep state, ni TISS, yuko upinzani kwa kazi maalum, n.k., n.k. !?

Well, your choice madam: kipi hasa unapenda kuamini kuhusu Mbowe?
 
Out of curiosity, hizo hisia nzito kiasi hicho kwa JPM zinaelezeka? Au ndio nafsi kuamua tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…