GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Wayahudi wenyewe hapo Israel hawaitaki serikali ya kizayuni, maandamaya kuipinga serikali no yao ya kila Jumamosi yanazidi kukuwa;
View: https://youtu.be/5sEiSj4ox44?si=VcphsvC6W4xs9-BI
Mazayuni wanauwa wanawake na watoto na wagonjwa mahospitalini. Kumbuka hilo.Wewe bibi kiroboto inasemekana theluthi mbili ya wavaa vipedo na misuli wenzako huko Gaza wamepotezwa tayari. Wapo huko jongomeo kwa mabikira 72 kila mmoja 🤔
......
Netanyahu says two-thirds of Hamas' fighting forces have been eliminated
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu says up to 17 out of Hamas’ 24 fighting regiments have been taken out in combat inside the Gaza Strip.www.foxnews.com
Kuchakaa usijali, mradi mazayuni wameshindwa itajengeka tu.Gaza imechakaa nyie mnaendeleza ngonjela
Hiyo habari ya New York Times, New York Times siku hizi inaandikwa msikitini?Upuuz mtupu ndo mnavyodanganyana masjid uko
"Ghaza" ndio nini karne na karne Gaza haijawahi itwa Ghaza hata kama una kithembe ungeita Gazha
Hao walio tekwa na kuchinjwa tarehe 7oct walikuwa wanajeshi?? Kuchinja raia Wana vyofanya hamasi ni sawa?? Vita Haina macho Kaa kimyaSasa hilo la kuua wasio na hatia ndio lengo la Vita wewe mbumbumbu?? Halafu wale wakujisalimisha wa mchongo wapo wapi maana mlisema ni Hamas?
NATO wanahofu sana uchaguzi unakuja Marekani sasa Biden anatafuta namna ya kusaka kura wananchi wa US hawataki kuburuzwa wamesema lazima taifa la Palestine libaki na suala la kuua watu wasio na hatia limewakasirisha sana sasa Biden yupo njia pandaJeshi wameshakiri kushindwa, sasa kuna mawili tu, au wanasiasa wakubali kushindwa walipe gharama zote za Wapalestina, ndiyo sheria ya vita.
Au mabwana zao wa USA na NATO waje kuwasaidia.