Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani Mnateseka Maskini Nyie Roho Zinawauma Washaurini Na Wao Wawe Na Jeshi Bora liweze Kupigana Ana Kwa Ana Sio Kujificha Kwenye Mashimo na Mahospitali na Misikitini Tuone Nani Mwenye Nguvu
Iran huko tayari kimeshaanza kuwaka waasi wa Iran kusini mashariki mwa Iran wameshaanza kushambulia Iran kwa risasi
View: https://youtu.be/ZQqlR_b22v4?si=5fbkfu9fLTRjjECq
Vita bado sana Israel kwa sasa inajiandaa kwa vita na Iran.Imeshaanza kupanga vikosi vyake baadhi ya makamanda sio wote walioko Gaza wanarudi vikosini kujipanga kupigana na Iran.Wanasubiri Iran arushe kombora hata moja tu waanzishe vita
Mimi huwa nashangaa katika akili ya kawaida tu hivi kuna mtu anaamini kuwa hii vita ni kwa sababu ya kuokoa mateka tu? utakuwa upumbavu wa kupitiliza yaani huyu Nentanyau na akili zote anapigana kuwaokoa mateka 50 sijui au hata kama 100 kwa gharama za kupoteza wanajeshi zaidi ya 400. Ni sawa unauza mbuzi ushinde kesi ya kuibiwa Kuku. Hawa jamaa wanatufanya wajinga sana kuamini upuuzi wao. Juzi baada ya kuuliwa wafanyakazi wa misaada 8 imekuwa habari kubwa kwao, Kwanini? sababu waliuliwa ni raia wa nchi zao ambao maisha yao yana thamani kubwa sana kuliko watu wengine. Wakati ukweli zaidi ya wafanyakazi 108 wa misaada wameuliwa lakini sababu sio wazungu hao sio muhimu sana. Kwa ufupi hawa jamaa ni unafiki kupitiliza na majanga haya kisingizioa cha kuokoa mateka ni kuuwa raia na hata wanajeshi mwisho wa siku hawa mateka wataachiwa kwa maongezi, sasa kwanini msingeongea toka mwanzo na kuokoa maisha ya watu waliokufa sababu ya kukoa watu 60 sijui.
Hakuna aliyenidanganya, tunaona kwenye news kila siku deal mpaka mateka waachiwe na juzi tumesikia nchi za west wakiwa wakali kwa Israel baada ya wafanyakazi wa UN kuuliwa saba sababu ni wazungu lakini ukweli zaidi ya UN wamepoteza watu zaidi ya 100 ila hakuna aliyepiga kelele sababu sio wazungu.Nani aliyekudanganya hayo?
Mimi naongelewa wanayo ongelea viongozi wao, Netanyau, Biden mpaka UK kila siku mateka ila kiuhalisia tunajuwa vita sio issue ya mateka ni mambo yaliyopangwa muda na humo humo nchi za kiarabu ni washiriki wa haya yote. Israel kafanya haya baada ya kupewa greenlight na hapa ni UAE, EGYPT, KSA na Qatar hawa wote wanafiki hadharani wanajifanya against ila private ni kama Netanyau tu.Nani aliyekudanganya hayo, ya kuwa "hii vita ni ya kuokoa mateka tu"?
kushinda vita ni kupoteza eneo dogo ? yaan unaemshinda amekutoa nchini mwake hadi nchini mwako na kakupora eneoHivi kweli Gaza ilivyo ndogo Israel imeshindwa kuidhibiti Hamas, bado Hamas inamiliki eneo kubwa, kuna mambo yanashangaza sana.
Hao ndio wa kupambana na Iran?
![]()
Haoo nimekuelewa na wanafiki wengine ni Mturuki na Jordan umewasahau.Mimi naongelewa wanayo ongelea viongozi wao, Netanyau, Biden mpaka UK kila siku mateka ila kiuhalisia tunajuwa vita sio issue ya mateka ni mambo yaliyopangwa muda na humo humo nchi za kiarabu ni washiriki wa haya yote. Israel kafanya haya baada ya kupewa greenlight na hapa ni UAE, EGYPT, KSA na Qatar hawa wote wanafiki hadharani wanajifanya against ila private ni kama Netanyau tu.
Sio wanafiki hawataki kununua ugomvi usiowahusuHaoo nimekuelewa na wanafiki wengine ni Mturuki na Jordan umewasahau.
Israel kwa sasa imeondoa majeshi kwenye baadhi ya miji i na iko sababu kubwa kivita ilibidi tu waondoke Ni kuwa Israel 8l8amuru raia wa gaza waindoke miji kibao hadi Rafah ulioko mpakqni na Misri ili wabaki kupigana tu na Hamasi Watu wa Gaza wakawekewa mahema ya kuishi Rafar ulio mpakani na MisriIsrael ikirudisha mashambulizi mnakuja na vilio vya watoto na wanawake
Na uchumi pia zaidi ya 200 trillion zimeshaaunguaMimi huwa nashangaa katika akili ya kawaida tu hivi kuna mtu anaamini kuwa hii vita ni kwa sababu ya kuokoa mateka tu? utakuwa upumbavu wa kupitiliza yaani huyu Nentanyau na akili zote anapigana kuwaokoa mateka 50 sijui au hata kama 100 kwa gharama za kupoteza wanajeshi zaidi ya 400. Ni sawa unauza mbuzi ushinde kesi ya kuibiwa Kuku. Hawa jamaa wanatufanya wajinga sana kuamini upuuzi wao. Juzi baada ya kuuliwa wafanyakazi wa misaada 8 imekuwa habari kubwa kwao, Kwanini? sababu waliuliwa ni raia wa nchi zao ambao maisha yao yana thamani kubwa sana kuliko watu wengine. Wakati ukweli zaidi ya wafanyakazi 108 wa misaada wameuliwa lakini sababu sio wazungu hao sio muhimu sana. Kwa ufupi hawa jamaa ni unafiki kupitiliza na majanga haya kisingizioa cha kuokoa mateka ni kuuwa raia na hata wanajeshi mwisho wa siku hawa mateka wataachiwa kwa maongezi, sasa kwanini msingeongea toka mwanzo na kuokoa maisha ya watu waliokufa sababu ya kukoa watu 60 sijui.