nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Kati ya madam na February Sijui nani anamsaidia mwenzake, au sijui hata nani mkubwa, nahisi sijui hata nani alimteua mwenzake, yaani sielewi nani anaweza kumtumbua mwenzake, nahisi Kama mtu anaejitazama kwenye kioo, yaani kushoto kunakuwa kulia na kinyume chakeMh.Rais anawasaidizi wa ovyo sana na bahati mbaya hata waaotakiwa kumsaidia kung'amua wasidiazi wa ovyo. Kauli ya Baba ake ilitosha kujua yaliyo nyuma ya afanyayo January, Makamba na kigenge chao wana nia ovu ya kumharibia Mh. Rais ili watengeneze utelezi wa wao kuserereka kwenye uchaguzi next term!
Tukumbushane ni mwaka gani mto rufiji ulikauka kwa ukameWewe sio Mungu,binafsi naona Ni upumbavu wa Mwendazake kutumia gharama kubwa kuweka bwawa la umeme wakati akikua fika kwamba Kuna hatari ya ukame na Mafuriko
Kwa uharibifu wa mazingira unaoendelea,tena kwa makusudi(sio na World citizenry as claimed,ila on purpose by the the NWO Cabal for purposes of human enslavement and domination),Bwawa la Nyerere will eventually be a White Elephant,as rainfall dwindles.We should have opted for Geothermal power.Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Waziri Makamba amesema hayo leo Disemba 18, 2022 wakati akizungumzia tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni rasmi katika kushuhudia fungaji wa lango la handaki mchepuko (vaani diversion tunnel) ili kuruhusu maji yaanze kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere.
Miaka inarudi nyuma au inaenda mbele?Tukumbushane ni mwaka gani mto rufiji ulikauka kwa ukame
Jamaa ni mkali Sana Kwa hesabuHakika
Achana na mafisadi, waongo, wapiga Dili na wasio na uwezo!!! Binafsi nashauri tujikite kubuni mbinu sahihi ya kuwashughulikia wasaliti katika Kila sekta. Wasaliti wa maendeleo ya watanzania kiuchumi, kiteknolojia na kijamii kwa ujumla. Hawa ndiyo wa kuwashughulikia.CCM idumu, idumu, idumu zaidi, Fikiria kama CCM isingekuwepo, mafisadi, waongo, wapiga dili na wote wasio na uwezo wangepata wapi hifadhi?
Mud!.Kwa uharibifu wa mazingira unaoendelea,tena kwa makusudi(sio na World citizenry as claimed,ila on purpose by the the NWO Cabal for purposes of human enslavement and domination),Bwawa la Nyerere will eventually be a White Elephant,as rainfall dwindles.We should have opted for Geothermal power.
All the advantages of geothermal energy
Thanks to long-lasting, safe, reliable plants, geothermal energy is increasingly low risk and brimming with untapped potential. It is silent, always available, has little impact on the landscape and is versatile. It can even be used for cooling and creates more jobs than any other green energy.www.enelgreenpower.com
Kenyans are wiser,and forward looking.
Ukweli huu utadhihirika sio katika miaka mingi ijayo,na naomba niendelee kuwa hai so that I can see this truth unfolding.
Time will tell if my comment is mud.
Upewe maua yakoMvua Moja Litajaa, Muhimu Tuwe Watulivu Mitambo Ianze Kazi
Hakuna political will ya kufanya hivyo Mkuu,wananchi hatuna budi kulitambua hilo na kuwashuhulikia sisi wenyewe.Nchi hii tayari imetekwa na kikundi kiovu ambacho hakiko tayari kuona wananchi wakipiga hatua yeyote kimaendelea kwa kuwa that means eroding their power and financial base.Achana na mafisadi, waongo, wapiga Dili na wasio na uwezo!!! Binafsi nashauri tujikite kubuni mbinu sahihi ya kuwashughulikia wasaliti katika Kila sekta. Wasaliti wa maendeleo ya watanzania kiuchumi, kiteknolojia na kijamii kwa ujumla. Hawa ndiyo wa kuwashughulikia.
Tukiwamaliza hawa, hawa wengine watakuwa diluted kama styrofoam kwenye mafuta ya Petroli!!!
Binadamu huwa tunakisia jAmbo ila Mungu ana mipango yakeWaziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Waziri Makamba amesema hayo leo Disemba 18, 2022 wakati akizungumzia tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni rasmi katika kushuhudia fungaji wa lango la handaki mchepuko (vaani diversion tunnel) ili kuruhusu maji yaanze kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere.
Asante sana, Mkuu. Sasa hapa ndiyo tunaanza kupata mwanga wapi pa kuanzia. Tuendelee kudadavua Hii changamoto ya hawa Wasaliti. Tukisha kuwaelewa vizuri kabisa, namna ya kuwashughulikia itakuwa Rahisi....na kuwashuhulikia sisi wenyewe.
Mbaaali uliona we kijana.Kwa yale mafuriko ya Kilombero tutegemee bwawa kufurika na hata kuvunjika mwezi April 2023!
Mkuu hawa watu wanaeleweka na agents wao ni people in government,mbona hakuna siri.Tatizo ni kwamba wanao wawezesha hawa agents wana too much financial,soft and hard power.Make no mistake about it,they control the police force,security force,migration and the military force.Nadhani ulimsikia Mabeyo akiongea kuhusu kifo cha Hayati Magufuli,that tells it all.Sasa tufanye nini,kwa kuwa seriously there is no possibility that we can change the government through the ballot box.It would be very naive and stupid to believe that we can do that through the ballot box.It is only a fool and lunatic who can believe we can do that.Asante sana, Mkuu. Sasa hapa ndiyo tunaanza kupata mwanga wapi pa kuanzia. Tuendelee kudadavua Hii changamoto ya hawa Wasaliti. Tukisha kuwaelewa vizuri kabisa, namna ya kuwashughulikia itakuwa Rahisi.
Kwa mara nyingine Asante sana, Mkuu.
Usipoteze matumaini...!!! In chemistry, they have a valid saying, which states that, 'there is no impossibility under the sun; the gold can be built in the lab.'Is it possible? I don't think so.