Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

Mh.Rais anawasaidizi wa ovyo sana na bahati mbaya hata waaotakiwa kumsaidia kung'amua wasidiazi wa ovyo. Kauli ya Baba ake ilitosha kujua yaliyo nyuma ya afanyayo January, Makamba na kigenge chao wana nia ovu ya kumharibia Mh. Rais ili watengeneze utelezi wa wao kuserereka kwenye uchaguzi next term!
Kati ya madam na February Sijui nani anamsaidia mwenzake, au sijui hata nani mkubwa, nahisi sijui hata nani alimteua mwenzake, yaani sielewi nani anaweza kumtumbua mwenzake, nahisi Kama mtu anaejitazama kwenye kioo, yaani kushoto kunakuwa kulia na kinyume chake
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Waziri Makamba amesema hayo leo Disemba 18, 2022 wakati akizungumzia tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni rasmi katika kushuhudia fungaji wa lango la handaki mchepuko (vaani diversion tunnel) ili kuruhusu maji yaanze kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere.
Kwa uharibifu wa mazingira unaoendelea,tena kwa makusudi(sio na World citizenry as claimed,ila on purpose by the the NWO Cabal for purposes of human enslavement and domination),Bwawa la Nyerere will eventually be a White Elephant,as rainfall dwindles.We should have opted for Geothermal power.

Kenyans are wiser,and forward looking.

Ukweli huu utadhihirika sio katika miaka mingi ijayo,na naomba niendelee kuwa hai so that I can see this truth unfolding.
 
Juzi imepiga saa 3 usiku mpaka saa 1 usiku kesho yaje, waziri Anazingua sana[emoji3525]
 
Ni hapo tu naipendea JF...kwa kutunza kumbukumbu. Ukipitia hii thread na yanayoendelea hivi sasa unaweza kuugua ule ugonjwa usiotibika.

CCM idumu, idumu, idumu zaidi, Fikiria kama CCM isingekuwepo, mafisadi, waongo, wapiga dili na wote wasio na uwezo wangepata wapi hifadhi?
 
CCM idumu, idumu, idumu zaidi, Fikiria kama CCM isingekuwepo, mafisadi, waongo, wapiga dili na wote wasio na uwezo wangepata wapi hifadhi?
Achana na mafisadi, waongo, wapiga Dili na wasio na uwezo!!! Binafsi nashauri tujikite kubuni mbinu sahihi ya kuwashughulikia wasaliti katika Kila sekta. Wasaliti wa maendeleo ya watanzania kiuchumi, kiteknolojia na kijamii kwa ujumla. Hawa ndiyo wa kuwashughulikia.

Tukiwamaliza hawa, hawa wengine watakuwa diluted kama styrofoam kwenye mafuta ya Petroli!!!
 
Kwa uharibifu wa mazingira unaoendelea,tena kwa makusudi(sio na World citizenry as claimed,ila on purpose by the the NWO Cabal for purposes of human enslavement and domination),Bwawa la Nyerere will eventually be a White Elephant,as rainfall dwindles.We should have opted for Geothermal power.

Kenyans are wiser,and forward looking.

Ukweli huu utadhihirika sio katika miaka mingi ijayo,na naomba niendelee kuwa hai so that I can see this truth unfolding.
Mud!.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Achana na mafisadi, waongo, wapiga Dili na wasio na uwezo!!! Binafsi nashauri tujikite kubuni mbinu sahihi ya kuwashughulikia wasaliti katika Kila sekta. Wasaliti wa maendeleo ya watanzania kiuchumi, kiteknolojia na kijamii kwa ujumla. Hawa ndiyo wa kuwashughulikia.

Tukiwamaliza hawa, hawa wengine watakuwa diluted kama styrofoam kwenye mafuta ya Petroli!!!
Hakuna political will ya kufanya hivyo Mkuu,wananchi hatuna budi kulitambua hilo na kuwashuhulikia sisi wenyewe.Nchi hii tayari imetekwa na kikundi kiovu ambacho hakiko tayari kuona wananchi wakipiga hatua yeyote kimaendelea kwa kuwa that means eroding their power and financial base.

Kikundi hiki kilianza kuteka nchi baada tu ya Mwalimu kuachia madaraka and possibly hata kabla ya kung'atuka and now it has total control.Kitendo cha kuweza kum-eliminate Magufuli with extreme ease shows how much control it has in government and the political scene.
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Waziri Makamba amesema hayo leo Disemba 18, 2022 wakati akizungumzia tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni rasmi katika kushuhudia fungaji wa lango la handaki mchepuko (vaani diversion tunnel) ili kuruhusu maji yaanze kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere.
Binadamu huwa tunakisia jAmbo ila Mungu ana mipango yake
 
...na kuwashuhulikia sisi wenyewe.
Asante sana, Mkuu. Sasa hapa ndiyo tunaanza kupata mwanga wapi pa kuanzia. Tuendelee kudadavua Hii changamoto ya hawa Wasaliti. Tukisha kuwaelewa vizuri kabisa, namna ya kuwashughulikia itakuwa Rahisi.

Kwa mara nyingine Asante sana, Mkuu.
 
Mkuu hawa watu wanaeleweka na agents wao ni people in government,mbona hakuna siri.Tatizo ni kwamba wanao wawezesha hawa agents wana too much financial,soft and hard power.Make no mistake about it,they control the police force,security force,migration and the military force.Nadhani ulimsikia Mabeyo akiongea kuhusu kifo cha Hayati Magufuli,that tells it all.Sasa tufanye nini,kwa kuwa seriously there is no possibility that we can change the government through the ballot box.It would be very naive and stupid to believe that we can do that through the ballot box.It is only a fool and lunatic who can believe we can do that.

Ni hivii,kama Watanzania wangekuwa na guts,tungejimobilize kama wananchi wa Phillipines walivyofanya kumng'oa Markos Ikulu.That is the only possibility,lakini hata possibility hii ina loopholes zake.Where is the Phillipines today,kwa mara nyingine tena imeangukia kwenye mikono ya wahujumu hao hao.

Frankly as humanity niseme wazi, we are in trouble,and we haven't seen anything yet.The end game is total enslavement and domination of the small zombie human population remaining after the final onslaught,which I must admit is just around the corner,unless we as humanity wake up and do something very drastic immediately aimed at eliminating "The Powers To Be," vinginevyo we are doomed,and that means "decaping the Dragon." Is it possible? I don't think so.
 
Is it possible? I don't think so.
Usipoteze matumaini...!!! In chemistry, they have a valid saying, which states that, 'there is no impossibility under the sun; the gold can be built in the lab.'
===
There must be a way through.
 
Back
Top Bottom