Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
Ni mpumbavu pekee anaedhani ni Israel pekee ndio wanafunzi huenda kwaajili ya mafunzo ya kilimo au nyanja nyingine.
 
Hamas ni wanamgambo sio wanajeshi,kumbuka hivyo,hawa wanamgambo hawana mafunzo ya kijeshi.Ni raia wa kawaida,ndio pia vyombo vingine vya habari binawaota magaidi sio wanajeshi.
 
Shida Yako udini unasahau hao unaowalaumu ni diniyako pia msomea ujinga. Kupeleka watu wakasome Israel niakili kubwa ili wakajionee zaidi ya utakavyo wewe nadharia/kuadithiwa... alafu wao waje wafundishe wenzao walichobobea kwakuonaa!
Kama nivita wangepelekwa waliokimbia shule mamburula sio wasomi toka Sua. Umesomea ujinga wapi faiza eti mbona unauwezea sana!!
 
Acha chuki za udini, tuambie warabu wenzako wamewahi kuisaidia nini Tanzania? soko la Kariakoo lilijengwa na waisrael tuonyeshe walichofanya waraabu wenzako
 
Iko wapi lawama?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Acha chuki za udini, tuambie warabu wenzako wamewahi kuisaidia nini Tanzania? soko la Kariakoo lilijengwa na waisrael tuonyeshe walichofanya waraabu wenzako
Hata hilo jina "kariakoo" usingelielewa kama si Waarabu.
 
Waulize Bashe, Makamba na mama Samia, vijana wa Kitanzania wanafanya nini Israel?
Skuizi huna hoja kama zamani Sasa sijui unazeeka au dini inakukolea? Tumia akili dini tumeletewa tuu na warabu usijifungamanishe sana utajazoa mapepo tuanze kukuombea huku kukutoa mapeposugu
 
Tukae mbali na mayahudi jamani hao sio watu wema. Nyerere tulipopata uhuru aliwakaribisha kuanzisha jeshi la kujenga taifa 'nationa service' ila baada ya miaka michache tu tukawatema baada kudhihirika ni watu hatari kiusalama na kiuchumi.
 

Ni kweli kabisa unachosema. Hata yule mwingine aliyepigana chini ya Wagna wa Urusi, tukapata taarifa za kifo kupitia mitandao ya kijamii. Baadaye akasafirishwa mpaka kwao Mbeya na kuzikwa huko.
 
MADA ni vijana wa Tanzania kupelekwa Israel, lakini mtoa mada anaingiza hoja ya Wapalestina kuuawa, Kuna uhusiano hapo? Suala la Palestina linatimiza unabii ambao Mwenyezi Mungu aliutoa kupitia vinywa vya manabii wake Ezekiel, Zakaria, Amos n.k. pale Waisraeli walipomuasi alisema atawatawanya eneo hilo, hiyo ilikuwa miaka ya nyuma ya 580 BC na ikatokea Waisraeli walipigwa na Warumi mwaka 135 AD na kutawanywa. Mwenyezi Mungu pia alisema atawarejesha Israel kutoka alikowatawanya, na ikatokea mwaka 1948 Waisraeli walirejea (Amos 9:14-15). Mwenyezi Mungu pia alisema Kuta za Gaza zitawaka moto (Amos 1:6-7). Haya yote yanatokea Sasa, kuta za Gaza zinawaka moto. Pengine tunaweza kufikiri kuwa toka haya yasemwe miaka ya 580 BC kwa Nini yanatokea leo zaidi ya miaka 3,000 iliyopita? Jibu ni rahisi, miaka 1,000 kwa Mungu ni siku moja. Hayo yanayotokea Gaza leo, hakuna awezaye kuyapindisha, siyo UN,Wala maandamano ya Dunia. Wapalestina wakae kwa kutulia, vinginevyo watafutwa mazima.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Usichanganye Israel hii ya leo ya mazayuni na kizazi cha Yakoub (Israel):
Your browser is not able to display this video.
 
January Yusuph Makamba na Hussein Bashe ni Waislam. Sidhan kama wanaweza ku support Waislam wenzao wa Palestine wauawe. Muulize Tena aliekupa hizi taarifa
 
Faiza:
Hii vita ya Hamas/Israel imekuchanganya sana dadangu.....You are not in your right mind! Sio Faiza nayemjua, Pole sana!
Tatizo lako ni sawa na la Watanzania wwlionwengi ni kujifanya unaelewa lakini Kuna mengi sana huyaelewi:
Your browser is not able to display this video.


Nakushauri pendelea kujisomea sana, soma kila unachoweza kukisoma, inapanuwa uelewa. Siku utakayojielewa kuwa huna unalolielewa ndipo utaanza kuwa muelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…