Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Ukipata jibu nitag mkuu
Hawezi kuleta jibu.

Hakujipanga vizuri kugather facts.

Wanajeshi wa nchi nyingi tu huenda nchi zingine kimafunzo na haina shida yo yote.

Ndio maana hapo Monduli tuna chuo cha maafisa wamepita hata watu wa nchi jirani hapo.

Nataka anipe uhusiano wa post ya May 4 ,2019 ya wanajeshi na uhusiano mwanafunzi mhitimu wa chuo cha kilimo aliyeuwawa 2023 zina uhusiano gani.

Muhoozi Kainerugaba Kwan rank yake kwenye jeshi la Uganda kuna kozi alikwenda kuchukulia USA .

Faiza issue za jeshi huzijui, tafadhali ziache utalipaka jeshi letu matope bila sababu za msingi.
 
Baada ya kusoma humu namna waislam wana pindisha ukweli ili kuhalalisha ukatili aliofanyiwa Joshua na Hamas nimejikuta naichukia sana hiyo Dini ya kiislam, sio kwamba hawa utu, hata aibu na akili hawana kabisa kabisa.
 
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.

Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa atakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.

Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?

Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.

Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepekwa pia kufundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wwengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel

Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii:

View attachment 2847132
Hapo Joshua yuko wapi?
 
Hii picha inatumika kama propaganda kwasababu nani asiyejua kuwa kuna wayahudi weusi? Hawa ni wayahudi weusi [ Falasha]waliorudishwa toka Ethiopia na kurudi israel na kujiunga na Jeshi kwa mujibu wa sheria.
 
Moja kati ya critical thinker ni huyu sema kwa mbali ana imani kali...kinachoniumiza ni kwamba anazeeka na madikodiko yote....
 
Wazazi wa hao vijana wanajua zaidi. Ila.kwa mazoea watu wengi wanaopelekwa israel mafunzo ni vijana wa serkali tena wale wa kaunda suti za bluu.

Wasichokijua wengi ninkwamba package ya training huwa inajumuisha mambo mengi ikiwemo ya kilimo, uvuvi, ufugaji etc

Lazima hao vijana watakuwa walikuwa vijana wa kitengo au walikuwa wakiandaliwa vizuri waje watumikie kitengo.
 
Si mmechagua upande tayari??

Hao madogo ni wanafunzi acheni propaganda za kidwanzi.

Hivi kweli kabisa unapropose mkufunzi kutoka israel na kuja bongo.
Sasa basi hata scholarship zitakua hazina maana, israel sio bongo.

Kama uliwahi kusoma/au una mtu pale basi utakua unajua kua pale wengi huenda nje ya nchi kimasomo/kikazi.
Ni chuo kinachotembelew na offer pomoni.

Hamas ni magaidi, wauwawe.
 
Wazazi wa hao vijana wanajua zaidi. Ila.kwa mazoea watu wengi wanaopelekwa israel mafunzo ni vijana wa serkali tena wale wa kaunda suti za bluu.

Wasichokijua wengi ninkwamba package ya training huwa inajumuisha mambo mengi ikiwemo ya kilimo, uvuvi, ufugaji etc

Lazima hao vijana watakuwa walikuwa vijana wa kitengo au walikuwa wakiandaliwa vizuri waje watumikie kitengo.
Huna unachokijua futa huu upumbavu wako
 
wewe sio msemaji wa serikali ya Tanzania.
Kwa hili twataraji serikali haitakaa kimya itatoa ufafanuzi tujuwe wale vijana walikwenda kwa ajili ya nini?
Kama ni kazi za mashambani hatukuambiwa hivyo walipoondoka.Kama ni chuo cha kilimo ilikuwa ni chuo gani ?
Na kama hakuna majibu Faiza atakuwa sahihi kuhoji na hana makosa akishuku kuwa walikwenda kuchukua mafunzo ya kijeshi na kwamba walikamatwa kwenye kambi ndio maana Hamas waliwaona ni adui zao bila kujua utaifa wao wala kuangalia rangi ya ngozi zao.Hamas wanajua ndani ya jeshi la IDF kuna askari wengi wa ngozi za kiafrika ambao wanapambana kuzuia uhuru na heshima zao.
Unataka ufafanuzi gani? Wakati tangu wapotee October 7 serikali ilitoa taarifa kuwa wanafunzi wawili wa kilimo toka Tanzania ni kati ya walio tekwa? Na baada ya kujulikana kuwa aliuawa waziri ali tweet kuelezea kuwa ni mwanafunzi wa kilimo? Ni nyie tu mliopagawa na mapepo ya kiarabu ndio hamuelewi.
 
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.

Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa atakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.

Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?

Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.

Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepekwa pia kufundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wwengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel

Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii:

View attachment 2847132
Mbona mnatuchanganya sasa?mara waliuwawa na mazayuni saa hizi mnaleta na picha kuwa walikuwa wanajeshi.kuwatetea magaidi ni kazi sana
 
Fanya research yako vizuri Weusi Al ABIDI hawaruhusiwi kuoa Waarabu wa Palestina unalijua hilo?

Hawapewi kazi za kutoa Service kwa Wapalestina wanapewa kazi za chini kuzoa taka nk.

Chunga sana Dini yako isikufunge macho kwenye ukweli.

Ukiwa Mkristo isiwe sababu ya kumtetea Mzungu hata pale anapofanya ubaya hali kadhalika Ukiwa Mwislamu usimtetee Mwarabu hata pale anapofanya ubaya.
Research yangu nimefanya na ni Topic ambayo naifahamu kwa Undani.

1. Ufahamu Issue ya Ndoa kwa waarabu siku zote ni Complicated kuna mambo ambayo si tu mtu mweusi anakuwa treated nayo bali hata waarabu wengine, waarabu wana Ndoa za koo ambazo sio rahisi kwa mtu masikini kuoa koo nyengine ya ki tajiri.

2. Wapalestina weusi wanaoa waarabu, Ukumbuke weusi walioenda Palestina ni wanaume na wamepewa wake wa kiarabu it's just kuna koo Fulani ni rahisi wao weusi kuoa kuliko koo zingine. Mfano kwa weusi kwao ni rahisi kuoa Fellahin kuliko Bedouin, kwa Lugha rahisi mfano wake ni Kama Tanzania iwe rahisi kuoa kwa Wakulima kama Morogoro kuliko kuoa kwa wafugaji kama wamasai. Zamani Mabedui walikua ni masikini na wafugaji kama wamasai ila siku hizi ndio wamiliki wa Uchumi wa Middle East, Koo nyingi za Kifalme ni za Kibedui na ni ngumu kukuta wanawapa watoto wao kwa watu wa kawaida.

3. Bottom line weusi Palestina wapo active na proud ya upalestina wao, mtu ambaye ananyanyapaliwa kila saa angeshawasaliti ama kukimbia siku nyingi tu, weusi wa Palestina wame earn respect yao. Soma hapa kuna Historia nzuri tu.

There is a reason kwa nini Wa Israel wanatuma spy weusi kwenye communities za Wapalestina.
 
w
Kilimo namna gani na chuo gani?.
ile safari ilikuwa na udanganyifu juu ya madhumuni yake.Imefichuka baada ya haya matukio.
walikuwa kwenye internship kwenye mashamba Israel huko, nguruwe wewe.
 
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.

Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa atakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.

Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?

Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.

Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepekwa pia kufundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wwengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel

Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii:

View attachment 2847132
Wengine tulijua wameenda kua nguvu kazi rahisi ie manamba wengine huku munazo taarifa za kutisha zaidi. All in all wengine tunaamini huwezi kua na uhusiano na israel wenye nia nzuri na tija kwa maendeleo ya nchi kama tanzania.
 
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.

Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa atakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.

Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?

Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.

Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepekwa pia kufundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wwengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel

Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii:

View attachment 2847132
Acha urongo, Israel kumejaa wa Ethiopia na wengi wako jeshini, wale Ethiopians walio na damu ya ki Jewish wali chukuliwa kurudishwa Israel na hao vijana hapo ni Ethiopians
 
Write your reply...mnahangaika kuisingizia na kuipaka tope nchi yenu ili mradi hamasi waonekane wasafi. Mi nazani wote nyie mkaolewe na hamas wakiwa wanatoka kupambana wakute mmeshapika mnauliza tu km wataanza na msosi au bodi zenu
 
Au watakuwa wametenda kupewa mafunzo ya kishoga ili wakija waendeleze ushoga kama Papa wao arivyowaamrisha MK254 mbona kimya ewe kafiri!
acha upuuzi we kenge, muwe mnatoa komenti fikirishi na mtambuka, unadhani huko dinini kwako kuna usalama sana dhidi ya ushoga? Shwaini, kama huwezi kukomenti pita kimya
 
Bibie tulia acha kujimbuachimbua mambo itoshe kujua kwamba vijana wale walipelekwa kujifunza kilimo, ulitaka uone wanaendesha matrekta shambani? Mi mwenyewe hapa ni mkulima na sipo shambani, nalima nina mashamba na nafanya shughuli zingine tofauti na kilimo. Ulitaka utangaziwe kuwa wanapelekwa huko kujifunza mambo ya kijeshi? Heshimu taarifa zinazotolewa na viongozi wa nchi. Halafu acha udini kuwa mzalendo wa nchi yako
 
Back
Top Bottom