Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Sawa.
1. Kwamba hizo a a a a ni moja ya sare zao?
2. Kwamba tayari mmoja alikuwa amehitimu na kupata hiyo nembo ya bawa za ndege a.k.a Commando au rubani?

Photoshop.
 
Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
kama unajua the story si useme ujibiwe hoja yako, unachotaka kukisema hakina tofauti na hii story ya bibi yako FaizaFoxy, muache kuleta story zenu za udinidini tu, hii nchi haiongozwi kwa misingi ya dini fulani, ni nchi huru na ina nchi marafiki nyingi tu duniani tunaweza kwenda huko kujifunza mambo mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu, unataka kusema nini hapo?
 
Muache mawazo ya kijinga nyie, hiyo kitu inawakuta soon huko mnakodhani mnaabudu yaja wakati hamtaamini nchi kinara wa dini yenu ndiyo zitashadidia ufirauni huo na tayari zimeshabukia ndoana yake. Jikite kwenye hoja yako achana na ushoga, mbona unaanzisha mada ndani ya mada unataka tukujibu ipi? Zote tutakujibu kikamilifu
 
Israel pigeni mabomu yote hayo mashetani ya Hamas.

Damu ya watanzania haitawaacha salama, wataishi kwenye mashimo kama panya mpaka wakome.

A good Palestiane is a dead one.
wataipata fresh hao magaidi, bado wale vijana wa kenya na malawi watakaokwenda kufanya vibarua mashambani huko nao watakuwa wamejipanga vya kutosha kujilinda kutekwa na magaidi hayo. Hatutaogopa kupeleka vijana wetu kujifunza fursa za kiuchumi katika nchi hiyo yenye wajuzi wa fani mbalimbali duniani. Ujuzi hutafutwa hata mbali
 
Kwa hao vijana, kama ni kweli Watanzania, kuwepo jeshini Israel maana yake Tanzania imechaguwa upande na ipo vitani rasmi.

Tusidanganyane kuwa atanzania haifungamani na yeyote.
tuna ubalozi wa palestina nchini, maana yake tuna uhusiano wa kidiplomasia na hamas/fatah au hata hesbollah ambavyo ni vikundi vya kipalestina. Utajisikiaje endapo kutakuwa na wanajeshi wa kitanzania ndani ya vikundi hivyo wakisaidia kupambana na israel? Uwe na akili hii ni nchi isiyofungamana na upande wowote fahamu hivyo
 
Nilikua naongea na jamaa wa middle east akasema, Hamas hauwi raia wa kigeni tena akashangaa, akasema lazina kuna kitu amekijua juu ya huyo, HAIWEZEKANA
mbona mna mawazo ya kipumbavu hivyo, kwa hiyo mnaona vema raia mwenzenu kuuliwa na hamas kwa kuwa kuna namna, hiyo namna ni ipi? Tunachojua huyo ni mtanzania na tunalaani kitendo alichofanyiwa mtanzania mwenzetu na kikundi hicho cha kipalestina, pumbavu udini acheni
 
Mbona sasa Hamas imewachukua muda mfupi tu kuingia Israel na kufanya mauwaji ya Wanajeshi na Raia?

Hamas imethibitisha kuwa IDF si lolote.
Intelligence ilifeli.na tahadhari ilitolewa lakini walipuuza.
 
tuna ubalozi wa palestina nchini, maana yake tuna uhusiano wa kidiplomasia na hamas/fatah au hata hesbollah ambavyo ni vikundi vya kipalestina. Utajisikiaje endapo kutakuwa na wanajeshi wa kitanzania ndani ya vikundi hivyo wakisaidia kupambana na israel? Uwe na akili hii ni nchi isiyofungamana na upande wowote fahamu hivyo
Hayo utajuwa wewe, mimi maoni yangu yapo post namba 1 ni machache sana. kajikumbshe.
 
Acha urongo, Israel kumejaa wa Ethiopia na wengi wako jeshini, wale Ethiopians walio na damu ya ki Jewish wali chukuliwa kurudishwa Israel na hao vijana hapo ni Ethiopians
Siyo waethiopia tu, hata WWatanzania wapo, serikali imewapeleka 260. Hulijuwi hilo?

Katazame post namba 106.
 
Bibi yetu kumbe kuna nyakati netweki inashika au ndio kusema kuna wakati unaamua kujitoa ufahamu? Angalau sasa unaonesha kidogo roho ya kiubinadamu kuhoji mustakabali wa raia wa Tanzania ambao wanateketea huko Israel bila hatia, mara nyingi tunakuona ukiwaunga mkono HAMAS wanaochinja watu hadharani
Hata sasaiv huo uzi wake ni wa kuwaunga mkono Hamas, soma kwa makini
 
Back
Top Bottom