Falasha ni mpalestina na sio muisrael. So hiyo picha huyo sio falashaHIyo picha hao ni Wafalasha mura.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Falasha ni mpalestina na sio muisrael. So hiyo picha huyo sio falashaHIyo picha hao ni Wafalasha mura.
utakwenda, una miaka mingapi?Na mimi nataka kwenda israel
niseme tu we ni mpuuzi unayeita wenzako kafiri wakati we ndiye kafiri mkuuKWAKUA mme ruhusiwa kubarikiwa makanisani nenda ukapate mafunzo ya ushoga EWE KAFIRI!
acha ujinga wewe, heshimu viongozi wako wa nchiMuone Bashe
Muone Bashe ndiyo wakala wa mazayuni anawapelekea vijana.
kama unajua the story si useme ujibiwe hoja yako, unachotaka kukisema hakina tofauti na hii story ya bibi yako FaizaFoxy, muache kuleta story zenu za udinidini tu, hii nchi haiongozwi kwa misingi ya dini fulani, ni nchi huru na ina nchi marafiki nyingi tu duniani tunaweza kwenda huko kujifunza mambo mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu, unataka kusema nini hapo?Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....
Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....
Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
wataipata fresh hao magaidi, bado wale vijana wa kenya na malawi watakaokwenda kufanya vibarua mashambani huko nao watakuwa wamejipanga vya kutosha kujilinda kutekwa na magaidi hayo. Hatutaogopa kupeleka vijana wetu kujifunza fursa za kiuchumi katika nchi hiyo yenye wajuzi wa fani mbalimbali duniani. Ujuzi hutafutwa hata mbaliIsrael pigeni mabomu yote hayo mashetani ya Hamas.
Damu ya watanzania haitawaacha salama, wataishi kwenye mashimo kama panya mpaka wakome.
A good Palestiane is a dead one.
tuna ubalozi wa palestina nchini, maana yake tuna uhusiano wa kidiplomasia na hamas/fatah au hata hesbollah ambavyo ni vikundi vya kipalestina. Utajisikiaje endapo kutakuwa na wanajeshi wa kitanzania ndani ya vikundi hivyo wakisaidia kupambana na israel? Uwe na akili hii ni nchi isiyofungamana na upande wowote fahamu hivyoKwa hao vijana, kama ni kweli Watanzania, kuwepo jeshini Israel maana yake Tanzania imechaguwa upande na ipo vitani rasmi.
Tusidanganyane kuwa atanzania haifungamani na yeyote.
mbona mna mawazo ya kipumbavu hivyo, kwa hiyo mnaona vema raia mwenzenu kuuliwa na hamas kwa kuwa kuna namna, hiyo namna ni ipi? Tunachojua huyo ni mtanzania na tunalaani kitendo alichofanyiwa mtanzania mwenzetu na kikundi hicho cha kipalestina, pumbavu udini acheniNilikua naongea na jamaa wa middle east akasema, Hamas hauwi raia wa kigeni tena akashangaa, akasema lazina kuna kitu amekijua juu ya huyo, HAIWEZEKANA
Intelligence ilifeli.na tahadhari ilitolewa lakini walipuuza.Mbona sasa Hamas imewachukua muda mfupi tu kuingia Israel na kufanya mauwaji ya Wanajeshi na Raia?
Hamas imethibitisha kuwa IDF si lolote.
Hayo utajuwa wewe, mimi maoni yangu yapo post namba 1 ni machache sana. kajikumbshe.tuna ubalozi wa palestina nchini, maana yake tuna uhusiano wa kidiplomasia na hamas/fatah au hata hesbollah ambavyo ni vikundi vya kipalestina. Utajisikiaje endapo kutakuwa na wanajeshi wa kitanzania ndani ya vikundi hivyo wakisaidia kupambana na israel? Uwe na akili hii ni nchi isiyofungamana na upande wowote fahamu hivyo
Siyo waethiopia tu, hata WWatanzania wapo, serikali imewapeleka 260. Hulijuwi hilo?Acha urongo, Israel kumejaa wa Ethiopia na wengi wako jeshini, wale Ethiopians walio na damu ya ki Jewish wali chukuliwa kurudishwa Israel na hao vijana hapo ni Ethiopians
Hata sasaiv huo uzi wake ni wa kuwaunga mkono Hamas, soma kwa makiniBibi yetu kumbe kuna nyakati netweki inashika au ndio kusema kuna wakati unaamua kujitoa ufahamu? Angalau sasa unaonesha kidogo roho ya kiubinadamu kuhoji mustakabali wa raia wa Tanzania ambao wanateketea huko Israel bila hatia, mara nyingi tunakuona ukiwaunga mkono HAMAS wanaochinja watu hadharani
Hizo picha zina ushahidi gani ?Katazame picha vizuri post namba moja? Kunahitajika kitambulisho hapo?