Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kawapeleka ndugu zetu kwa HAMASthibitisha ugaidi wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawapeleka ndugu zetu kwa HAMASthibitisha ugaidi wake
Huyu ndiyo alileta umasikini kwa kukumbatia Waarabu, wahindi na wasomali matokeo yake Tz ni masikini kupita kiasi, angalia sehemu ambazo waliishi waarabu kama Tabora, Tanga, Singida n.k ni masikini za kutupwa lakini sehemu ambako waliishi wazungu matokeo unayajua.Issue ya kutofungamana na upande wowote ilikuwa katika vita baridi tu ya Ujamaa na Ubepari ila issue ya Israel na Palestina Tanzania ilikuwa upande wa Palestina na ndiyo maana tulivunja mahusiano na Israel mwaka 1973 na alikuja kurudisha uhusiano uo Maghfuli.
Tanzania iliandaa wapigania uhuru wa nchi za Africa, Tanzania itaendelea kuunga nchi yeyote kupambana kupata Uhuru wake kamili.
Viongozi wetu wasasahivi ni waoga tu wa mabeberu ila angekuwa Mwalimu Nyerere sasahivi ameshasema mbele ya vyombo vya habari kuisema UN kuwa ni kibaraka wa Marekani na sera yao ya mambo ya nje ni ya kimalaya.
FaizaFoxy we ni mwanamke kwa nini huoni aibu kutaja neno kufirana ikiwa wewe una uke? Kwanza wapi papa karidhia waumini kufirana? Muwe mnaelewa mukhtadha pale papa anavyoelezea ni vipi watu wa mapenzi ya jinsia moja wachukuliwaje endapo wapo ndani ya waumini. Kumbuka kuwa wale ni binadamu na kila dini wanaweza kuiamini ikiwemo dini yako ya kiislam unayoipenda. Huwezi kuzuwia mashoga na wasagaji kuwa waislam maana hiyo ni imani tu binadamu yeyote anaweza kuiamini na bila shaka wapo waislam mashoga na wasagaji huna nguvu ya kuwazuwia ndiyo tabia zao hizo.Uislam hauna "moderate" wala "extreme" hizo ni "terminology" za kwenu kanisani ambako kufirana ni rukhsa kwa mujibu wa papa.
Uislam ni mmoja tu.
Mzee FaizaFoxy ukimkuta kwenye Kitimoto utamsahau 😂Huyu ndiyo alileta umasikini kwa kukumbatia Waarabu, wahindi na wasomali matokeo yake Tz ni masikini kupita kiasi, angalia sehemu ambazo waliishi waarabu kama Tabora, Tanga, Singida n.k ni masikini za kutupwa lakini sehemu ambako waliishi wazungu matokeo unayajua.
Watetezi wa Hamas mumeamua kuja na Kila aina ya uongo na hadithi za kutunga na Photoshop pictures za kutungaTusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.
Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.
Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?
Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.
Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepelekwa pia kujifundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel
Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kina nani hawa?:
View attachment 2847132
Kawapeleka ndugu zetu kwa HAMAS
[/QUOTE.FaizaFoxy analia vijana wamepelekwa israel kuwapiga hamas, we unasema kawapeleka hamas, vipi hapo tuelewe nini? Mnatuchanganya
Sahivi miwani yake inasumbua haoni vizuriMzee FaizaFoxy ukimkuta kwenye Kitimoto utamsahau 😂
Africa viongozi wake wamelaaniwaKenya na Malawi nao wapo njiani kupeleka vijana kufanya kazi za mashambani. Eti mashambani vitani [emoji1787]
Lete ushahidiHIyo picha hao ni Wafalasha mura.
Akili hazifanyi kazi.Africa viongozi wake wamelaaniwa
Shida % kubwa wanawekwa na majangili badala ya wananchiAkili hazifanyi kazi.
Ao Waarabu wenyewe mbona matajili?Huyu ndiyo alileta umasikini kwa kukumbatia Waarabu, wahindi na wasomali matokeo yake Tz ni masikini kupita kiasi, angalia sehemu ambazo waliishi waarabu kama Tabora, Tanga, Singida n.k ni masikini za kutupwa lakini sehemu ambako waliishi wazungu matokeo unayajua.
Kwanini sasa ambao wapo nao ni masikini?Ao Waarabu wenyewe mbona matajili?
Yani mpaka aibu eti, mtu akishakuwa serious na uislam anapoteza akili kabisa.Wewe bibi huoni kwamba hiyo ni photoshop?
Hawa ni Jews ambao ni Falasha waliotoka Ethiopia, ebu angalia historia yako vizuri siyo unakurupuka tu. Jeshi la waisrael linao waarabu, bedouin, Druze, Jews and Falasha ambao walihamia Israel kutoka Ethiopia. Na kama kawaida ukishapita miaka 18 kila mmoja anapaswa aende jeshini, sasa shida ipo wapi? Waliouawa pia wapo wapalestina waarabu.Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.
Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.
Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?
Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.
Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepelekwa pia kujifundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel
Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kina nani hawa?:
View attachment 2847132
Ahsante, tena wakimfuate huyo anayeitwa S.A.W ndiyo akili zinapotea kabisa.Yani mpaka aibu eti, mtu akishakuwa serious na uislam anapoteza akili kabisa.