Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Issue ya kutofungamana na upande wowote ilikuwa katika vita baridi tu ya Ujamaa na Ubepari ila issue ya Israel na Palestina Tanzania ilikuwa upande wa Palestina na ndiyo maana tulivunja mahusiano na Israel mwaka 1973 na alikuja kurudisha uhusiano uo Maghfuli.

Tanzania iliandaa wapigania uhuru wa nchi za Africa, Tanzania itaendelea kuunga nchi yeyote kupambana kupata Uhuru wake kamili.

Viongozi wetu wasasahivi ni waoga tu wa mabeberu ila angekuwa Mwalimu Nyerere sasahivi ameshasema mbele ya vyombo vya habari kuisema UN kuwa ni kibaraka wa Marekani na sera yao ya mambo ya nje ni ya kimalaya.
Huyu ndiyo alileta umasikini kwa kukumbatia Waarabu, wahindi na wasomali matokeo yake Tz ni masikini kupita kiasi, angalia sehemu ambazo waliishi waarabu kama Tabora, Tanga, Singida n.k ni masikini za kutupwa lakini sehemu ambako waliishi wazungu matokeo unayajua.
 
Uislam hauna "moderate" wala "extreme" hizo ni "terminology" za kwenu kanisani ambako kufirana ni rukhsa kwa mujibu wa papa.

Uislam ni mmoja tu.
FaizaFoxy we ni mwanamke kwa nini huoni aibu kutaja neno kufirana ikiwa wewe una uke? Kwanza wapi papa karidhia waumini kufirana? Muwe mnaelewa mukhtadha pale papa anavyoelezea ni vipi watu wa mapenzi ya jinsia moja wachukuliwaje endapo wapo ndani ya waumini. Kumbuka kuwa wale ni binadamu na kila dini wanaweza kuiamini ikiwemo dini yako ya kiislam unayoipenda. Huwezi kuzuwia mashoga na wasagaji kuwa waislam maana hiyo ni imani tu binadamu yeyote anaweza kuiamini na bila shaka wapo waislam mashoga na wasagaji huna nguvu ya kuwazuwia ndiyo tabia zao hizo.
 
Huyu ndiyo alileta umasikini kwa kukumbatia Waarabu, wahindi na wasomali matokeo yake Tz ni masikini kupita kiasi, angalia sehemu ambazo waliishi waarabu kama Tabora, Tanga, Singida n.k ni masikini za kutupwa lakini sehemu ambako waliishi wazungu matokeo unayajua.
Mzee FaizaFoxy ukimkuta kwenye Kitimoto utamsahau 😂
 
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.

Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.

Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?

Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.

Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepelekwa pia kujifundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel

Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kina nani hawa?:

View attachment 2847132
Watetezi wa Hamas mumeamua kuja na Kila aina ya uongo na hadithi za kutunga na Photoshop pictures za kutunga
Hamas wameua watu wetu Hilo watanzania hatutawasamehe.Unazidi tu kutupandisha hasira

Vyuo vikuu viko chini ya wizara ya Elimu ya juu na sio wizara ya kilimo au mambo ya nchi za nje

Tanzania wansafunzi wa fani za kilimo na ufugaji wamekuwa wakipata shida sana kupata sehemu nzuri za kufanyia mazoezi Kwa vitendo kwenye mashamba makubwa yenye kilimo Cha kisasa na zana za kisasa sababu ni kama Hatuna kabisa .Kilimo chetu na ufugaji ni wa kujikimu na wakulima wakubwa waliopo ni wachache mno na kilimo v niao kidogo sana na unakuta Cha aina moja tu ya mazao au ufugaji

Israel wako.mbele sana kwenye kilimo kikubwa na ufugaji wa kisasa wa mazao mengi ambako Kila eneo Kuna wataalamu kuanzia wa teknolojia nk wako

Hivyo mwanafunzi akienda mazoezi anajifunza kilimo Cha aina zote Kwa vitendo akiwa kwenye mashamba ya wakulima wenyewe kuanzia kulima ,kufuga Hadi kuyapandisha thamani hayo mazao ya kilimo na ufugaji yaa ku process

Sasa chuo Cha kilimo SUA wao ndio waliingia mikataba ya kupeleka mazoezi wanafunzi wao wa kilimo 260 Kila Mwaka.Kama hujui shida ya vijana kupata maeneo mazuri ya kufanyia mazoezi kaulize wanavyuo wanaosoma sababu wewe sio rahisi kujua sababu watoto wako wanasoma Madrasa hawahitaji sehemu ya kwenda kufanya mazoezi zaidi ya kutandikwa tu viboko kukaririshwa Aya za kuruani ndio maana nasema kaulize watoto wa wenzio wanaosoma vyuo vikuu

Na wanaopelekwa Israel kwenye hizo internship sio wakristo tu na waislamu huenda sababu kule hawafundishwi dini wayahudi hawahitaji mtu aingie kwenye dini Yao ni yule aliyezaliwa na myahudi ndie huruhusiwa.Hivyo kule kufanya kilimo Kwa vitendo

Mkataba wa SUA wa kupeleka wNachuo kujifunza kilimo ni tofauti na mikataba mingine ya vyuo vya kiislamu ambavyo husaini mikataba na nchi za kiarabu kwenda kusoma zaidi mambo ya kuruani sio vitu vya kuwasaidia kubadilisha maisha kiuchumi
 
Nilikua nawaza juu ya nguo ya ndan ya marehem Joshua mbona ya kijeshi au niliona vibaya
 
Huyu ndiyo alileta umasikini kwa kukumbatia Waarabu, wahindi na wasomali matokeo yake Tz ni masikini kupita kiasi, angalia sehemu ambazo waliishi waarabu kama Tabora, Tanga, Singida n.k ni masikini za kutupwa lakini sehemu ambako waliishi wazungu matokeo unayajua.
Ao Waarabu wenyewe mbona matajili?
 
Mkuu mbona hizo picha ni za Wayahudi ?
Hao ni Wayahudi wenye asili ya Ethiopia waliohamishwa kwenda Israel katika mpango wake (Jews return)! Hao wanatumika kwenye jeshi la IDF kama wayahudi wengine.
 
Akili ni nywele aisee, sikutegemea bandiko kama hili la kufikirika kutoka kwa mtoa bandiko. Wanafunzi kwenda Israel hawajaanza Leo Wala Jana, fatilia bhana, wanaenda wengi tu na wengi wakirudi wanakuja na mambo mazuri sana ya kujikuza kiuchumi, mbali na kujifunza Kilimo ni sehemu ya vijana kupata exposure, kuiona Dunia katika angle ingine. Acheni roho mbaya bhana

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.

Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.

Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?

Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.

Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepelekwa pia kujifundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel

Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kina nani hawa?:

View attachment 2847132
Hawa ni Jews ambao ni Falasha waliotoka Ethiopia, ebu angalia historia yako vizuri siyo unakurupuka tu. Jeshi la waisrael linao waarabu, bedouin, Druze, Jews and Falasha ambao walihamia Israel kutoka Ethiopia. Na kama kawaida ukishapita miaka 18 kila mmoja anapaswa aende jeshini, sasa shida ipo wapi? Waliouawa pia wapo wapalestina waarabu.
 
Back
Top Bottom