Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hili ni jukwaa hili lakini huo uhuru una mipaka yake. Natumaini umenielewa vyema.Hebu tuambie uchafu au ufisadi wa makonda ni upi ambao hauna mashaka yoyote?
Ni nani unadhani alikuwa mchafu ama alikuwa na tuhuma iwe serikali yake au serikali ya JK akaendelea kumbeba au kuwemo kwenye serikali yake?
Sana sana utasema alivamia clouds na tuhuma nyingine za kisiasa ambazo huwezi kuthibitisha.Mkuu hili ni jukwaa hili lakini huo uhuru una mipaka yake. Natumaini umenielewa vyema.
Kuna tuhuma nyingi zisizoweza kuthibitishwa, kama vile masuala ya nguvu za giza zilizoachwa ikulu na JK, ni Paulo aliyeweza kupata 'wataalam' walioweza kuziondoa mahali pale na yapo mengine mengi tusiyoweza kuyaweka mahali hapa.Sana sana utasema alivamia clouds na tuhuma nyingine za kisiasa ambazo huwezi kuthibitisha.
"Mleta maada wewe ni mpuuzi na huna hekima wala akili"Mleta maada wewe ni mpuuzi na huna hekima wala akili. Tofauti ya JK na JPM ni kuhusu wateule wao. Wateule wa JK ni mafisadi sana na wezi wasiokuwa na huruma na ni kundi lililotaka kujimilikisha nchi! Huo ndiyo mpbano wa vyombo vya ulinzi na usalama vinapambana nchi isiangukie kwa hawa kundi la walafi. Salamu kwa hawa wanaojifanya kuendekeza ufisadi for 100% hawatafanikiwa kwa sababu kila kitu kipo monitored 24/7. Ndiyo maana mwenye akili kipindi hiki si sahihi kuingia/kuwekeza Tanzania kwa sababu all dubious deal zinaweza ku haribika anytime. Dr Magufuli yeye aliteua watendaji wenye uoga wa rushwa/wenye vinasaba vya uzalendo/wenye mafaili si machafu sana (ingawa wengine walitumia huo mwanya kujineemesha). Kwa upande wa Dkt JK na Dkt Magufuli wote si mafisadi yaani hawakuwa na hulka ya kujilimbikizia mali.
mambo mengine ni kumwachia MWENYEZI MUNGU MAANA HAKUNA LINALO MSHINDA, KWANI TUMEONA MANGAPI? ACHA JANUARI MAKAMBA AJIFANYE MJANJAUnajua wabongo Kuna muda sisi wenyewe ni tatizo.
Kiuhalisia kabisa unaweza vipi mteua mtu ambaye anawakilisha kampuni zenye kesi na Tanesco?
Kipindi hicho Makamba mwenyewe alikiri hilo suala la Maajar na rex attorneys yake. Akaenda mbali kabisa na kushangaa imekuwaje JK kamteua mtu huyo kuwa balozi. Anyway.......
Rex-Attorney's Kunyimwa kazi za SERIKALI- January Makamba
Mbunge wa Bumbuli, Mh. January Makamba kasema wazi kwamba, akiwa Mbunge, atahakikisha kampuni ya kisheria ya Rex Attorney's haipati kazi yoyote ndani ya serikali, kwani wangekuwa Makini kusingetoea hii mikataba tata ya Dowans, Richmond na mengine ambayo rex imeshiriki. Kwa maana nyingine...www.jamiiforums.com
Mara hii unamkataa mwendazake JPM! Leo ndio unajua ubaya wake? Hili ni bonge la U-turn.Ungependa awe ni aina ya Kalemani mkali mwenye sauti ya kufoka na pengine awe na utayari wa kuwatukana wasaidizi mbele ya kamera za runinga za TBC!.
Mleta maada wewe ni mpuuzi na huna hekima wala akili. Tofauti ya JK na JPM ni kuhusu wateule wao. Wateule wa JK ni mafisadi sana na wezi wasiokuwa na huruma na ni kundi lililotaka kujimilikisha nchi! Huo ndiyo mpbano wa vyombo vya ulinzi na usalama vinapambana nchi isiangukie kwa hawa kundi la walafi. Salamu kwa hawa wanaojifanya kuendekeza ufisadi for 100% hawatafanikiwa kwa sababu kila kitu kipo monitored 24/7. Ndiyo maana mwenye akili kipindi hiki si sahihi kuingia/kuwekeza Tanzania kwa sababu all dubious deal zinaweza ku haribika anytime. Dr Magufuli yeye aliteua watendaji wenye uoga wa rushwa/wenye vinasaba vya uzalendo/wenye mafaili si machafu sana (ingawa wengine walitumia huo mwanya kujineemesha). Kwa upande wa Dkt JK na Dkt Magufuli wote si mafisadi yaani hawakuwa na hulka ya kujilimbikizia mali.
[B]Mudawote una[/B] kichwa cha panzi. Umesoma juujuu. Mtoa mada amesema wateuliwa wa JK walituhumiwa na mtu mmoja tu JPM kuwa ni mafisadi lakini hakuwahi kuwafikisha Mahakamani kuthibitisha kuwa ni mafisadi mpaka amekufa.
Kiukweli Magufuli roho yake ilikuwa na chuki kwa kila mtu ambaye alikuwa ana neema. Alitaka watu wote waishi kimaskini kasoro yeye na wapambe wake akina Makonda, Mnyeti, Bashiru etc.
Mtoa mada kasema hii ni fursa kwa timu hii kuonyesha uwezo wao na uaminifu wao.
Mama nampenda sana na ni moja wa close allies wake. Msichokijua wewe na wenzako mnachezeshwa ngoma ili mjulikane na iwe rahisi kuwamwaga. Mama na Dkt Magufuli na Dkt JK ni kitu kimoja. Sisi wana CCM tunajua mchezo. Na uzuri mpaka sasa mmeshajitambulisha lengo lenu ni Mama akose kura 2025 ili muweke mtu wenu. Ila mpaka sasa mmeshakwama.Wewe una chuki binafsi na utawala wa Mama lakini hazitokusaidia. Huyo tayari ni Kiongozi na unapaswa kumtii.
Kama vip mkuu alifanya jpm ili na sisi tumhukumuKweli kabisa JPM alifanya hovyo nyingi na kuzima vyombo vya habari visitangaze hayo leo hii tumeanza kuona uchafu wake, na bado.
Mama nampenda sana na ni moja wa close allies wake. Msichokijua wewe na wenzako mnachezeshwa ngoma ili mjulikane na iwe rahisi kuwamwaga. Mama na Dkt Magufuli na Dkt JK ni kitu kimoja. Sisi wana CCM tunajua mchezo. Na uzuri mpaka sasa mmeshajitambulisha lengo lenu ni Mama akose kura 2025 ili muweke mtu wenu. Ila mpaka sasa mmeshakwama.
Na pale alipowatumbua CAG alisimama nao na kuwa hawajatendewa haki yaani natural justice haikufuatwaWatu hawalalamiki bila sababu. Na hawawezi kusema ndio kwa kila jambo.
Kusema watu wa magu walikuwa wachafu ni kutaka kuipa uhalali hoja yako. Kila mtu anajua JPM hakushindwa kumtumbua mtu yeyote aliyezingua na kumchana hadharani, labda asijue.
Ndio serikali ya pekee iliyomudu kusimamia viongozi bila aibu wala kuogopana.
Akikwaambia naomba nitag mkuuHebu tuambie uchafu au ufisadi wa makonda ni upi ambao hauna mashaka yoyote?
Ni nani unadhani alikuwa mchafu ama alikuwa na tuhuma iwe serikali yake au serikali ya JK akaendelea kumbeba au kuwemo kwenye serikali yake?
Unajua kusoma? Mimi ni shabiki na team Mama kwa 100%. Ila tunachokataa tabia yenu ya kujaribu kuonesha eti wateule wa Dkt Magufuli walikuwa wabaya wakati hata Mama aliteuliwa na huyo huyo Dkt Magufuli. Lengo lenu mnataka ikifika 2025 mseme Mama hafai. Propaganda zenu zimeshajulikana mnataka kumkwamisha Mama. Muache mara moja!Kama hujui 2025 ni Mama tena. Sisi hatutaki nyie Sukuma Gang kutawala tena. Lengo letu msitawale milele.
Kwani kupata wataalam ndio tuhuma.? Wewe kama si wewe au mama yako au baba yako hakuna ambaye hajachanjwa chale? Kwa hiyo nao wana tuhuma.?Kuna tuhuma nyingi zisizoweza kuthibitishwa, kama vile masuala ya nguvu za giza zilizoachwa ikulu na JK, ni Paulo aliyeweza kupata 'wataalam' walioweza kuziondoa mahali pale na yapo mengine mengi tusiyoweza kuyaweka mahali hapa.
With due respect....unasema watu wanawahisi vibaya..hivi mkuu are serious?...watu wana full data mzee tena solid evidence....Hii hulka ya kuwahisi watu ubaya inatupa unyonge usiokwisha siku zote. Ni mbaya sana na inaishi ndani yetu. Kwa kuwa mwaka juzi uliharibu na mwaka huu ukipewa utaharibu.
Ni sawa sawa na yale aliyosema Prof Shivji kuhusu wafanyabiashara kupewa nafasi kwenye bodi kasahau kuwa bungeni kumejaa wafanyabiashara na wameshapita wengi tu. RIP Abbas Gulamali, Shabibi na wengine wengi tu na bado tukawaamini wakitenda kazi kwa ufanisi tulioutegemea.
Ndio maana nikasema kila mtu anayo mabaya yake na mema yake. Mafuru anaangukia katika kundi hilo, kumbuka kimtazamo hakufanana na rais JPM. Kwa maana ya rais kuwaogopa wafanyabiashara huku akiwa na kundi lake analotaka lifaidike.With due respect....unasema watu wanawahisi vibaya..hivi mkuu are serious?...watu wana full data mzee tena solid evidence....
Ni vyema ukawaweka akiba ya maneno otherwise utakuja kupata aibu
..Nikuulize swali dogo tu unajua kwa nini Mafuru aliondoka NBC?....kama hujui find out....watu hawabahatishi.