Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa[emoji2][emoji2][emoji2] sijui aina gani ya ushauri nikaombe..
Wao na utalii wapi na wapi hawa jamaaa..
Hata yule wa ngunguli naye yumo?Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali iwatumie katika kuutangaza utalii wa nchi yetu.
Umoja wa makamishna wastaafu wa jeshi la polisi ulitembelea familia ya hayati Moringe Sokoine na kuzuru kaburi lake.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Wastaafu wote wamo!Hata yule wa ngunguli naye yumo?
Mnoooo . Watulie ni wakati wa kuisogelea foleni ya kuhesabiwa.
Hapo ndio napompendea Mungu, fanya ubabe , dhulma na uonevu lakini muda utafika utasinyaa na kuzeeka nguvu zitaisha. Vyeo na mamlaka vitakaliwa na wengine wale waliokuwa wanyonge na watu wa kawaida ambao walikuaa hawaruhusiwi na ma-ps kumfikia mwenye mamlaka ndio watarudi kuwa rafiki na jirani wa kweli.
Wenye mamlaka wa wakati huo huja msibani kusaini kitabu na pole ya vijipesa na kuwahi kuondoka wakisema wanamajukumu mengi na misiba huachiwa wasio na lolote na ndio wanamsitiri marehemu aliyekuwa na kibri kwa hao wanyonge.
Hili ni fumbo kubwa sana la Imani.
Watulie hao makamishna
Ushauri wa kusingizia watu kesi na kupokea rushwa huo hatuutaki.
Pambaneni na hali zenu.
Kova alipomsingizia yule mkenya kuwa kamteka Dr. Ulimboka alijiona mjanja sana.
Leo hii hata mia mbovu hana.
KARMA!
Sioni hata mmoja wa kumwomba ushauri.Wote wazee wa pumba!Wastaafu wote wamo!
😃😃😃 sijui aina gani ya ushauri nikaombe..
Wao na utalii wapi na wapi hawa jamaaa..
Aisee!Mnoooo . Watulie ni wakati wa kuisogelea foleni ya kuhesabiwa.
Hapo ndio napompendea Mungu, fanya ubabe , dhulma na uonevu lakini muda utafika utasinyaa na kuzeeka nguvu zitaisha. Vyeo na mamlaka vitakaliwa na wengine wale waliokuwa wanyonge na watu wa kawaida ambao walikuaa hawaruhusiwi na ma-ps kumfikia mwenye mamlaka ndio watarudi kuwa rafiki na jirani wa kweli.
Wenye mamlaka wa wakati huo huja msibani kusaini kitabu na pole ya vijipesa na kuwahi kuondoka wakisema wanamajukumu mengi na misiba huachiwa wasio na lolote na ndio wanamsitiri marehemu aliyekuwa na kibri kwa hao wanyonge.
Hili ni fumbo kubwa sana la Imani.
Watulie hao makamishna
Katika huo umoja wa makamishna na Zombe yumo?Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.