Makamo wa Rais Dkt. Mpango huyu Tajiri Muha Muyama ni nani Kwako? Kwanini ana Kiburi na Kaibuka Wewe ulipokuwa tu Makamu wa Rais?

Huyu Mheshimiwa makamu alitakiwa saa hizi awe Askofu au Papa huko Vatican, sasa aangalie siasa isimpotezee dhawabu yake
 
Historia inatusaidia nn kizazi cha SAsa chenye uhitaji.
Umeuliza Swali la Kipumbavu mno hivi unaweza kufanya Maendeleo bila ya pia kujua Historia ili uweze kuendana na wakati wa sasa? Usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa kutokujua Kwako Kufikiri na kujenga Hoja sawa?
 
Yale yale ya kumruhusu yule mama wa makanisa na shule nyingi nyingi kujenga sinagogi kule baharini wakingojea aende Mbinguni ili wabomoe.

Usiwaamini wana siasa
Mamndenyi, mbona za huyo mama zilibomolewa kabla hajaitwa na wake muumba? Tena nakumbuka kesi yake ilikua uvamizi wa kiwanja Cha mtu mwingine.
 
Kuunda Suma JKT na TATC Kibaha ilitosha sana kufanya biashara kwa niaba ya jeshi letu. Lakini upuuzi tunao uona 34 Kj Lugalo na 671 SAM Regiment HQ Makubuli ni udhalilishaji wa majeshi yetu na vyombo vya usalama.
 
Umemaliza kila Kitu Mkuu na Kongole.
 
Litabomolewa awamu ijayo.

Acha wafanye wanavyoona sasa ila awamu zijazo.

Ujinga wote utafutwa.
Wakati ni huu hakuna wakati mwingine, CCM ipo makini kweli, hakuna nafasi tena kwa Mlugaluga
 
"uwezeshaji wastaafu wa kijeshi"
Zitakodishwa wastaafu wa kijeshi pekee kuna ubaya gani? /
 
Umeuliza Swali la Kipumbavu mno hivi unaweza kufanya Maendeleo bila ya pia kujua Historia ili uweze kuendana na wakati wa sasa? Usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa kutokujua Kwako Kufikiri na kujenga Hoja sawa?
Fact all n all Jiji limepanuka mno haya makambi yalipaswa kusogezwa pembeni kabisa mwa JIJI, Facts must told!
 
Huyo mwingine wakati negotiations zinafanyika ikasemekana kwamba he is the future so awe released.

Kaanza hapo ila atakua anapanda mdogo mdogo.

Lakini mshumaa utazimwa.
Mshumaa uzimwe na nani wakati bus limewakumba watu wote na wapinzani wakiwemo wanaimba mapambio kila kukicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…