Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuliza Swali la Kipumbavu mno hivi unaweza kufanya Maendeleo bila ya pia kujua Historia ili uweze kuendana na wakati wa sasa? Usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa kutokujua Kwako Kufikiri na kujenga Hoja sawa?Historia inatusaidia nn kizazi cha SAsa chenye uhitaji.
Huyo Nduguye Muyama ameshamuharibia.Huyu Mheshimiwa makamu alitakiwa saa hizi awe Askofu au Papa huko Vatican, sasa aangalie siasa isimpotezee dhawabu yake
Huyo Nduguye Muyama ameshamuharibia.
Waziri mkuu Riz na Mhazini mkuu NapeAwamu ijayo Ni January makamba
Mamndenyi, mbona za huyo mama zilibomolewa kabla hajaitwa na wake muumba? Tena nakumbuka kesi yake ilikua uvamizi wa kiwanja Cha mtu mwingine.Yale yale ya kumruhusu yule mama wa makanisa na shule nyingi nyingi kujenga sinagogi kule baharini wakingojea aende Mbinguni ili wabomoe.
Usiwaamini wana siasa
Lawama au 'Dharau' zako zielekeze kwa master plan ya JKNitawadharau Watanzania hadi Kiama.
Kuunda Suma JKT na TATC Kibaha ilitosha sana kufanya biashara kwa niaba ya jeshi letu. Lakini upuuzi tunao uona 34 Kj Lugalo na 671 SAM Regiment HQ Makubuli ni udhalilishaji wa majeshi yetu na vyombo vya usalama.Nilishalisemea hili hapa JamiiForums na kuja na Mada zangu Kuu Mbili juu ya Kupinga ule Ujenzi, ila nikaona Former CDF alikuwa ameshakuwa 'Fixed' na Kabariki huo Upuuzi hapo.
We've already Commercialized our Army Chief so just sit and relax to see the negative impact of that especially to our Soldiers and Security as well.
Tunajiamini mno na tumeshajisahau.
Umemaliza kila Kitu Mkuu na Kongole.Kuunda Suma JKT na TATC Kibaha ilitosha sana kufanya biashara kwa niaba ya jeshi letu. Lakini upuuzi tunao uona 34 Kj Lugalo na 671 SAM Regiment HQ Makubuli ni udhalilishaji wa majeshi yetu na vyombo vya usalama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalia tu Mbavu zako zisipate tabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ambaye Mwanae wa Kiume Diwani 'Cow Way' alifichwa 'Kibaiolojia' na Bi. Ashura huko Tabata au?
Wakati ni huu hakuna wakati mwingine, CCM ipo makini kweli, hakuna nafasi tena kwa MlugalugaLitabomolewa awamu ijayo.
Acha wafanye wanavyoona sasa ila awamu zijazo.
Ujinga wote utafutwa.
"uwezeshaji wastaafu wa kijeshi"Nilishalisemea hili hapa JamiiForums na kuja na Mada zangu Kuu Mbili juu ya Kupinga ule Ujenzi, ila nikaona Former CDF alikuwa ameshakuwa 'Fixed' na Kabariki huo Upuuzi hapo.
We've already Commercialized our Army Chief so just sit and relax to see the negative impact of that especially to our Soldiers and Security as well.
Tunajiamini mno na tumeshajisahau.
Stop wasting my time with that lowest IQ of yours okay? Just mind your business please."uwezeshaji wastaafu wa kijeshi"
Zitakodishwa wastaafu wa kijeshi pekee kuna ubaya gani? /
Hao wastaafu wakifa si watarithi watoto wao ambao hawajui usalama na maadili ya jeshi au?"uwezeshaji wastaafu wa kijeshi"
Zitakodishwa wastaafu wa kijeshi pekee kuna ubaya gani? /
Fact all n all Jiji limepanuka mno haya makambi yalipaswa kusogezwa pembeni kabisa mwa JIJI, Facts must told!Umeuliza Swali la Kipumbavu mno hivi unaweza kufanya Maendeleo bila ya pia kujua Historia ili uweze kuendana na wakati wa sasa? Usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa kutokujua Kwako Kufikiri na kujenga Hoja sawa?
Not for inheritance it's army property!Hao wastaafu wakifa si watarithi watoto wao ambao hawajui usalama na maadili ya jeshi au?
Mshumaa uzimwe na nani wakati bus limewakumba watu wote na wapinzani wakiwemo wanaimba mapambio kila kukicha.Huyo mwingine wakati negotiations zinafanyika ikasemekana kwamba he is the future so awe released.
Kaanza hapo ila atakua anapanda mdogo mdogo.
Lakini mshumaa utazimwa.
Kuna mpango maalumu wa kuona ni jinsi gani Jeshi litapunguza uwezeshwaji kutoka serikalini, #wildcucumberStop wasting my time with that lowest IQ of yours okay? Just mind your business please.