Makamo wa Rais Dkt. Mpango huyu Tajiri Muha Muyama ni nani Kwako? Kwanini ana Kiburi na Kaibuka Wewe ulipokuwa tu Makamu wa Rais?

Majukumu ya jeshi!, VS Majukumu ya polices force, The country intelligence is of highest than you thoughts, nothing to worry!
Hapa tupige tu ngonjera weekend ipite
Kama nchi ina Intelligence ya kutosha ilishindwa nini Kuzuia Matukio ya Utekaji, Watu Kuuliwa na Kuwekwa katika Viloba na Kutupwa Baharini na Kuzuia Shambulio baya lililomkumba Tundu Lissu au basi hata tu Kuwabaini Waliohusika?

Hivi unajua maana ya kusema kuwa Usalama wa nchi uko Salama na Watu tusihofu? Kichwani mwako zimetimia Kweli au kuna Makamasi tu pekee?

Nchi iliyo Strong kwa Intelligence yake inaweza Kuzubaa hadi Criminal Gangs za kama Panya Road na Wengine wakaibuka?

Kwa taarifa yako Intelligence Organization nzuri ni ile ambayo inanusa Hatari mapema na Kuzuia ila siyo ile ambayo inangojea Tukio litokee ndipo waanze Kuhangaika katika Kulikabili.

I never knew that you're this Fool Ok?
 
Pale Gen. Musuguri aliishi nyumba ya ki ghorofa kimoja chini yake kidogo aliishi Ger. Kyaro wakati huo akiwa. Brigade commander. Wakati huo anasa hazikuwa jeshini, nyumba za kawaida usafiri wa kawaida Land Rover 110.
 
Pale Gen. Musuguri aliishi nyumba ya ki ghorofa kimoja chini yake kidogo aliishi Ger. Kyaro wakati huo akiwa. Brigade commander. Wakati huo anasa hazikuwa jeshini, nyumba za kawaida usafiri wa kawaida Land Rover 110
 
Very stupidity kiddish questions, pamoja na intelegent yote ambayo huwemo ndani ya taifa lolote MUHESHIMIWA MKUU ata pilots kila kitu ndani ya taifa hilo.
 
Pale Gen. Musuguri aliishi nyumba ya ki ghorofa kimoja chini yake kidogo aliishi Ger. Kyaro wakati huo akiwa. Brigade commander. Wakati huo anasa hazikuwa jeshini, nyumba za kawaida usafiri wa kawaida Land Rover 110.
Na mbele yao Wote hawa alikuwepo Mzanaki Mwenzangu na Poti Mwenzao ( mwana Mkoa wa Mara ) Brigadier Professor Yardon Kohi one of the best Nurogist in the Country kama alivyo Baba yake Dada Maria Sarungi ( Professor Sarungi )
 
Hivi huyo pathologist bado yupo nakumbuka niliwahi fanya naye kazi
 
Very stupidity kiddish questions, pamoja na intelegent yote ambayo huwemo ndani ya taifa lolote MUHESHIMIWA MKUU ata pilots kila kitu ndani ya taifa hilo.
Haya ndiyo huwa Majibu ya Wapumbavu wengi Mliojazana / Waliojazana katika System yetu na ambao wameingia huko kwa Nepotism but not on Merit. Kumbe ninavyokudharau nipo sahihi hivyo sasa nitakuwa Nakusanifu tu hapa JamiiForums.
 
Na mbele yao Wote hawa alikuwepo Mzanaki Mwenzangu na Poti Mwenzao ( mwana Mkoa wa Mara ) Brigadier Professor Yardon Kohi one of the best Nurogist in the Country kama alivyo Baba yake Dada Maria Sarungi ( Professor Sarungi )
Na mpata vizuri Dr Kohi. Baadae alikuja kuwa Mkuu wa tume ya science na technology... Kama sikosei
 
Na mbele yao Wote hawa alikuwepo Mzanaki Mwenzangu na Poti Mwenzao ( mwana Mkoa wa Mara ) Brigadier Professor Yardon Kohi one of the best Nurogist in the Country kama alivyo Baba yake Dada Maria Sarungi ( Professor Sarungi )
Hivi huyo pathologist bado yupo nakumbuka niliwahi fanya naye kazi
Haya ndiyo huwa Majibu ya Wapumbavu wengi Mliojazana / Waliojazana katika System yetu na ambao wameingia huko kwa Nepotism but not on Merit. Kumbe ninavyokudharau nipo sahihi hivyo sasa nitakuwa Nakusanifu tu hapa JamiiForums.
Mungu yu mwema kweli. 17:03
 
Na mpata vizuri Dr Kohi. Baada alikuwa kuwa Mkuu wa time ya science na technology... Kama sikosei
Alikuwa Boss pale COSTECH Kijitonyama. Is one of our Family Friend since late 80's na mpaka sasa bado tupo intact pamoja na Mkewe ( former Medical Personel Muhimbili Hospital ) na Binti yao aliyeko Muhimbili kama Daktari baada ya kutoka Lugalo Military Hospital alikohudumu kwa muda.
 
Mamndenyi, mbona za huyo mama zilibomolewa kabla hajaitwa na wake muumba? Tena nakumbuka kesi yake ilikua uvamizi wa kiwanja Cha mtu mwingine.
hajawai kubomolewa
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]huyu jamaa bwana
 
Wengi wa rika lako na kama ulikaa huko ni Watoto mayai na wengi wamegeuka mateja au walevi, Endapo kama upo fit shukuru mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…