GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #81
Kama nchi ina Intelligence ya kutosha ilishindwa nini Kuzuia Matukio ya Utekaji, Watu Kuuliwa na Kuwekwa katika Viloba na Kutupwa Baharini na Kuzuia Shambulio baya lililomkumba Tundu Lissu au basi hata tu Kuwabaini Waliohusika?Majukumu ya jeshi!, VS Majukumu ya polices force, The country intelligence is of highest than you thoughts, nothing to worry!
Hapa tupige tu ngonjera weekend ipite
Hivi unajua maana ya kusema kuwa Usalama wa nchi uko Salama na Watu tusihofu? Kichwani mwako zimetimia Kweli au kuna Makamasi tu pekee?
Nchi iliyo Strong kwa Intelligence yake inaweza Kuzubaa hadi Criminal Gangs za kama Panya Road na Wengine wakaibuka?
Kwa taarifa yako Intelligence Organization nzuri ni ile ambayo inanusa Hatari mapema na Kuzuia ila siyo ile ambayo inangojea Tukio litokee ndipo waanze Kuhangaika katika Kulikabili.
I never knew that you're this Fool Ok?