Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

Yaani watoke kwenye hasara halafu waendelee kupata hasara
 
bongo hakuna kitu kama hicho labda ingekuwa south korea
 
Thubutuuu, hata wakizitoa ukiingia insta ukafungua video hata 3 tu lazima ukutune na sms ya umetumia 75% ya bundle lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…