Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

Mkuu hizi tetesi zimethibitishwa?Nawaza na hivi watu hawajapata fresh porn for some days halafu inarudi full mnara na 10Gb free bundle,nahisi wabongo watapiga nyeto hadi wafe.
daaah! nmecheka sanaa..
umefikiria nini mkuu?
 
Mimi Jumapili Vodacom walinifidia kwa kunipa mb 100, dakika 10 na sms sikumbuki zilikuwa ngapi, 24 hours! Wameweka saa nane za usiku! Nimeona kesho yake muda umeenda.
 
Hv kwenye terms &conditions huwa mnasoma zote au mna agree tu!?
 
Hv kwenye terms &conditions huwa mnasoma zote au mna agree tu!?
 
Hv kwenye terms &conditions huwa mnasoma zote au mna agree tu!?
 
Thubutuuuu...! Mitandao ya wapi ikugawie wewe za bure?. Nchi ipi?. Hii hii wamo akina miguru?
 
Nnchi zetu za africa viongozi huwa hawataki kuwajibika kwa wenzetu kukosekana kwa huduma ya intanet uwajibikaji ungekuwepo
 
😀 Yaani Hayo Makampuni ya Simu ndio Wamewaambia tatizo Linaisha Wiki Hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…