Hivi ni nani anayechukukuaga hizi nyuzi na kupeleka phoenix? Nimeuliza kwa uzuri tu kwa kutaka kujua. View attachment 1742877
Trending stories zinakuwa automatically added?, swala la vifurushi recently limekua mega issue na limecatch trend sanq lakin huu uzi hauna replies hata over 50. AI gani inafukunyua na kupick uzi wenye replies chache namna hii?Technology imekua Kiongozi, matumizi ya Artificial Intelligence (AI). Ni automatically inafanyika hiyo, hakuna anayepost huko. Trending news zinakuwa feeded huko kwa AI.
Trending stories zinakuwa automatically added?, swala la vifurushi recently limekua mega issue na limecatch trend sanq lakin huu uzi hauna replies hata over 50. AI gani inafukunyua na kupick uzi wenye replies chache namna hii?
Yawezekana, sorry huu uzi una replies 300+. It's worthy it! [emoji120]Kwa mfano keyword kwenye trending news inaweza ni TCRA, kwa hiyo taarifa yoyote yenye hiyo keyword inakuwa picked. Iko namna hiyo
Ni mwendo uleule kumkamua ng'ombe mpk atoe damu.Yawezekana, sorry huu uzi una replies 300+. It's worthy it! [emoji120]
Yaaani hawa voda mpk saiv hawajarudishwa,ndio maana hii nchi inabidi iendeshwe kimagufuli magufuli ndio itaenda. La sivyo watazidi kucheka cheka tu.
Msimamo wa Magufuli(RIP) kuhusu matumizi ya mtandao unajulikana Hakuipenda mitandao.Alishawahi kutamka anatamani malaika washuke wazime mtandao.Hata wakati wa uchaguzi mtandao ulizimwa Ili watu wasijadili wala wasifuatilie uchaguzi kwenye mitandao.Watu wote wapate taarifa ambazo ni centralized.Tutamkumbuka. Unafikiri ingekuwa ni ule wakati JEMBE wangethubutu hata kuongeza bei za vifurushi? La, hasha, wasingethubutu hata kidogo.
Mwenye shamba amelala usingizi wa milele, nyani wanarudi shambani kwa Speed ya 5G. TUTAMKUMBUKA.
Hata kama wameongeza gharama za vifurushi, angetoa kauli moja tu, ndani ya saa chache wangekuwa wametekeleza.
Hata Airtel wameweka pamba masikioni.Tigo na voda ndo hawaja sikia au
Hii arrogance unaitoa wapi ndugu?
Hupendi bei ya mtu na bidhaa zake eti unamfukuza nchi wakati ni raia kama wewe?
Mzima kweli wewe?
Kipindi kile faida ilikuwepo sasa hivi gharama za uendeshaji zimepanda au unadhani gharama za uendeshaji zinabaki hivyo hivyo?
Mitambo sasa kuiendesha gharama zake zimepanda,bei ile ile haifai,inatakiwa ipande kuakisi OPEX na CAPEX bila hivyo hii mitambo itazima na hizo bando zenyewe hamtakaa mpate moja kwa moja sasa
Wewe unakomaa bei ya zamani ibaki,hizo gharama za uendeshaji nani ajazie?Mavi?
Hutaki huduma zima simu sio lazima utumie bando
Acheni usenge basi
Wezi tu hawa viongozi wetu,hapo wanazisaka zile Tilioni 2 kwa mwezi.Ina maana hizo gharama zimepanda kwa tanzania tuu sio
Na sidhani hata kama wana huo mpangoHii mitandao ni viburi sana, halotel mpaka sasa hawajabadili..
Sijajua kwamba wameamua kudinda au ni nini hasa?Hii mitandao ni viburi sana, halotel mpaka sasa hawajabadili..