Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Naona halotel wamekaza....nchi hii ujinga mwingi sana.Hapa tusilaumiane bure kosa ni la TCRA maana ndiyo walizitaka kampuni kufanya mabadiliko ya vifurushi hivyo, hapa serikali inabeba lawama, japo TCRA wametoa tamko kama linavyoonekana hapa chiniView attachment 1744454
Kwani kampuni zingine wamesharekebisha?Naona halotel wamekaza....nchi hii ujinga mwingi sana.
Wamentumia hii msgNaona halotel wamekaza....nchi hii ujinga mwingi sana.
Nasikia TTCL, Airtel na Tigo wamerudisha...mimi ni mtumiaji wa Vodacom na Halotel.Kwani kampuni zingine wamesharekebisha?
Mimi sijaupata huo ujumbe, ngoja nichungulie hiyo menyu nione kuna nini...Wamentumia hii msg
Mpendwa mteja, kuanzia 06/04/2021 kutakua na mabadiliko kwenye huduma zitazopatikana kwenye laini yako. Endelea kufurahia kwa kupiga *148*55#. Asante.
Hao wawili wasechu sanaNasikia TTCL, Airtel na Tigo wamerudisha...mimi ni mtumiaji wa Vodacom na Halotel.
Hayo yalikuwa ni maelekezo ya meko. Yeye alitamani watu washindwe hata kupiga simu achana na kuingia kwenye mitandao ya kijamii. Yule baba alikuwa na roho ya kishetani sana ndio maana Mungu akaona awape watu wake unafuu.Makampuni yamefuata agizo la Waziri Ndugulile kuwa Mb1 iwe tshs 1. Najua alikalishwa chini na kushauriwa kuwepo na ongezeko la bando na akalitekeleza.
Huu mtego amenasa na utamgharimu maisha yake yote ya kisiasa.
Nimelisema wazi hili ili wanasiasa wetu wajifunze kuwa siyo kika ushauri ni wa kukurupukia wanapaswa wajitafakari kabla ya maamuzi yeyote
Yeye ndio muasisi wa kutaka kukusanya kodi bila kujalisha zinapotoka, hata kupanda kwa bei za vifurushi na mwendelezo wa hayo mambo yake.Namkumbuka anko Magu kwa kweli
Halotel nawao wamesha rudisha kama kawaidaView attachment 1744630
Afadhali hiv kuliko Mb 450 + dakika 15Hii sio kawaida, mwanzo haikua hivi 🙄
Mbona airtel na wengine ilikuwa fast tuu wakabadili.Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid