Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Mbona Halotel unapata 1GB 1000 per week or 3Gb @3000 per 2 weeks kupitia halopesa.
Vodacome ndio bado wamekazi afu ndio huwa nawaelewa kwenye speed ya internet 4G
 
Mkuu sijaelewa hiyo Avatar yako inataka tuchukue muda wetu kutazama movie au hiyo picha
Screenshot_20210407-165243.jpg
hua napendelea sana movie ndio mana nikaweka avatar iyo mkuu
 
Hivi Watanzania Kwa hiki kinachoendelea ndio Tuseme ya kwamba Watanzania Tumeamua au tumezoea kuteseka Ndani ya Nchi yetu???
 
Sio kwamba hamyaoni yamayowapata watu wenu mnaona na mnajua! Sio kwamba hamjui kuwa Kuna baadhi ya mitandao bado hawajashusha vifurushi na mpo mnawaangalia tu.

Sio kwamba hamjui kuwa kunawalioshusha vifurushi lkn pia wameshusha na spidi ya internet, mnajua lakini mlivyo vibogoyo mnamung'unyamung'unya!

Uko wapi ufanisi wenu wa kuunganisha watu na mashirika haya ya simu! Au haya yanayoendelea tuuite ndo ufanisi?
Ikowapi elimu yenu mliyoisomea ili muje mtutumikie?

Yako wapi mamlaka mliyonayo ikiwa wananchi tunayumbishwa hivi na nyinyi mpo?

Niambieni ni katika namna ipi nisiwaite nyie vibogoyo na wakati yanatokea haya ya kutokea?
 
Wadau hivi hawa Voda na Tigo Wanatuonanaje Watanzania? Mbona bifurushi vyao bado Vipo vile vile na Vipo Juu Sana....Jamani *149*01# Voda ni Ovyo.....*147*00# Tigo ni mateso tuu.Hivi kweli tupo Tanzania ya Wanyonge??? Wapi Waziri,wapi TCRA? Jamani Mhe.Rais na Wasaidizi wake mpo humu mbona mnatuonea Watanzania Jamani😢😢😢😢😢😭😭😭
 
Baada ya malalamiko makubwa ya wananchi kutokana na kupanda kwa gharama za matumizi ya virushi vya simu,hali iliyopelekea serikali kuingilia Kati na kutoa tamko la kusitisha gharama hizo mpya zilizopandishwa ,na kuwataka wahusika wa mitandao ya simu kurejesha gharama za awali kipindi ambacho watakuwa wanafanya marekebisho ya gharama mpya ambazo zitakuwa elekezi kwa mujibu wa serikali.
Tatizo kubwa linaloendelea hadi Sasa ni kwamba gharama za vifurushi bado zipo vilevile licha ya tamko kutolewa na mkuu wa nchi.
Bado virushi vipo bei ghali na bado wananchi wanalalamika licha ya taasisi ya mawasiliano kupata mkurugenzi mpya ambaye tulitarajia aanze na ufumbuzi wa suala hili.
Matumaini ya wananchi bado yapo katika serikali.
Na tumeona TCRA mpya imeanza kazi zake kwa kutoa matamko na maagizo mbalimbali kuhusu kutahadharisha watu kuendelea kuchukua tahadhari na kutokukingiuka Sheria ya mtandao.
Ila kuhusu suala la virushi bado hatuja sikia tamko lolote hadi sasa
Je tutarajie TCRA mpya itatoa tamko kuhusu utekelezaji wa kubadilisha gharama za bei za vifurushi?
Tunakuomba Mh.Jabir kuwe mkurugenzi wa TCRA wewe ni mchamungu na muadilifu Sana utendaji wako umetukuka sisi wanyonge tunahitaji gharama ya virushi ishuke tunaumia Sana .
FB_IMG_16183783226935853.jpg
 
View attachment 1751468

Hii mitandao ya kijinga ambayo inatuona sisi tuna hela nyingi ni ya kuiacha mara moja na kuhamia aghalau Halotel kwenye unafuu.

Tamko limetoka tarehe 3/04 la kurudisha gharama za vifurushi lakini baadhi ya mitandao bado hadi leo hii tarehe 14/4 zinatuangalia tu.
 
Hawa watu wanaojiita vodacom inaonekana wana nguvu na jeuri kuliko serikali.

Kwa inavyoonekana, kuna mizizi mirefu sana ya watu wasiojulikana na wenye vyeo huko ambao wameshikilia roho na uchumi wa vodacom.

Rais wa nchi alishasema, vifurushi vishuke, lakini agizo lake limepuuzwa na kudharauliwa.

Inawezekanaje agizo la Rais na Amiri jeshi mkuu wa nchi likapuuzwa? Haya ni matusi mazito.

Hivi angekuwa ni Jemedari Chuma Magufuli ndio ametoa hilo agizo, hawa vinyangarika wa TCRA na Voda wangekuwa bado wanajivuta kwa kiburi namna hii?

Kumbe wakati mwingine udhaifu ni wa kujitakia?

Wanataka tuamini nini? Kwamba Rais samia ni mwepesi sana ama? Halafu?

Kwanini hawataki kushusha vifurushi? Wanafikiri tunaokota hela mchangani?

Hii njama ya utapeli wa vifurushi inahitaji mpaka Yesu ashuke mbinguni au vipi?

Hivi hii nchi ina serikali?
 
Wanadai kuwa wamesharekebisha vifurushi yaaani ni kuwa vya mwanzo ungeviona basi ungezimia alafu wamedai kuwa wameondoa baadhi ya vifurushi vya zamani ili kubaki na vifurushi vichache vya kukidhi mahitaji ya watu(Sa hapa ndo sijui wanaona watu ni vipofu kwenye kuangalia mitandao mingine ).
Kwa kifupi Ukiwa unaakili zako hiyo laini
iwe kama pambo tuu laku save namba .
 
Mkuu Mimi nimeshapost thread nyingi za hii kadhia ya vifurushi na kuuliza swali hilo hilo kwamba inakuwaje serikali inaongea na hatuoni utekelezaji? Mpaka nikasema kiboko yao alikuwa yule kichaa msukuma neno moja tu kila kitu kinakaa sawa wee Enzi ya makufuli tungehamishiwa TTCl wote na hawa wasiosikia serikali inasemaje wakapigwa ban huyu Ndugulile angebaki na ubunge tu...kila MTU ana ubaya wake ila kuna mambo tutamiss mzee sana kwakweli eti umwambie liko kwenye mchakato sijui nn anakupa jb moja tu...mchakato ukaufanye kitandani na mke wako tupishe unademotiwa faster halikuwa jambo zuri lkn kwakweli lilifanya kazi ikawa faster na kuheshimu kazi.....We will miss you mzee.
 
Mkuu TOHATO umeona huo utopolo yaani hakuna walichorekebisha sijui wanatuonaje yaani kama mazuzu Yaani Huyu Ndugulile sijui anangoja nn wasitumbue..
 
Hawa watu wanaojiita vodacom inaonekana wana nguvu na jeuri kuliko serikali.

Kwa inavyoonekana, kuna mizizi mirefu sana ya watu wasiojulikana na wenye vyeo huko ambao wameshikilia roho na uchumi wa vodacom.

Rais wa nchi alishasema, vifurushi vishuke, lakini agizo lake limepuuzwa na kudharauliwa.

Inawezekanaje agizo la Rais na Amiri jeshi mkuu wa nchi likapuuzwa? Haya ni matusi mazito.

Hivi angekuwa ni Jemedari Chuma Magufuli ndio ametoa hilo agizo, hawa vinyangarika wa TCRA na Voda wangekuwa bado wanajivuta kwa kiburi namna hii?

Kumbe wakati mwingine udhaifu ni wa kujitakia?

Wanataka tuamini nini? Kwamba Rais samia ni mwepesi sana ama? Halafu?

Kwanini hawataki kushusha vifurushi? Wanafikiri tunaokota hela mchangani?

Hii njama ya utapeli wa vifurushi inahitaji mpaka Yesu ashuke mbinguni au vipi?

Hivi hii nchi ina serikali?
Rostam kazini.
Huyu ni jeshi la mtu mmoja
 
Kulalamika haisaidii, dawa ni kuwahama tu kwakuwa kuna makampuni mengine ya simu, achana na Vodacom wezi jiunge na mitandao mingine, that's it.
 
Back
Top Bottom