Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Hiyo ndio volvo ya juu kbs itakuwa globletrotter...wacha nijaribu volvo nayo nione
Hii 1000hp ni mod mkuu...volvo nlinunua ikiwa na 300 na kitu horsepower nikaweka mod ya 1000hp gar inakwenda mpaka speed had 500 huko

Jaribu hyo mod nawah kufka safar zangu skuiz.
 
Hii 1000hp ni mod mkuu...volvo nlinunua ikiwa na 300 na kitu horsepower nikaweka mod ya 1000hp gar inakwenda mpaka speed had 500 huko

Jaribu hyo mod nawah kufka safar zangu skuiz.
Nipe hizo mod nizisake usiku huu huu
 
Hii kitu hatari...tatizo tank la mafuta la scania dogo engine hii hatari

Mod hii nmeikubali sana kama zipo mod nyingine naomba
chukua volvo globetrotter fh12 kuna mods za chassis yake
ya 10 by 4 na mid lifts za kutosha diesel tank yake ni 1600litres
 
chukua volvo globetrotter fh12 kuna mods za chassis yake
ya 10 by 4 na mid lifts za kutosha diesel tank yake ni 1600litres
Ngoja nijaribu kutumia globetrotter though mm napenda sana scania ila madereva wangu wote nmewanunulia volvo.

Naomba link za hizo mods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…