Makamu Mwenyekiti CHADEMA, comrade Tundu Lissu mbona upo kimya kwenye maridhiano?

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.

Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.

Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.

Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?

Kikwete hakuwaita wapinzani wote Ikulu?

JPM hakuwaita CHADEMA Mwanza sherehe za Uhuru?
8625FDC2-E1C1-43F2-95CC-410786ED5D47.jpeg
 
Wanaukumbi.

SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.

Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.

Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.

Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?

Kikwete hakuwaita wapinzani wote Ikulu?

JPM hakuwaita CHADEMA Mwanza sherehe za Uhuru?
Wenye shibe hawana kelele
 
Mtaji wa kura umeliwa😂 kuna watu wanafaidika na shari. Sasa kilichobaki wajipange na sera. Kitu ambacho hawana maana tumechoka kila siku kuwaskia mkiongelea kasoro tunazozijua. Mnaacha kusema mtafanya nini mnakazana kutafuta huruma ya wananchi.
 
Wanaukumbi.

SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.

Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.

Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.

Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?

Kikwete hakuwaita wapinzani wote Ikulu?

JPM hakuwaita CHADEMA Mwanza sherehe za Uhuru?
Lissu alishakutana na Mama Samia na amesema hapa kuwa alilipwa stahiki zake zote so sidhani kama hataki maridhiano.

Pia Jana Chadema walikutana kama kamati kuu kujadili progress ya maridhiano kikao ambacho Kilikua online na Lissu amehudhuria Sasa sielewi hizi drama unazotengeneza ni za nini.

Kwani Lissu hataki katiba mpya? Hataki mikutano? Hataki kurejea nchini? Mnajaribu sana kuitengeneza mgogoro ambao haupo, Chadema ni wamoja na focus ni katiba mpya na tume huru Ili 2025 mafisadi ya CCM yapishe ikulu.
 
Mtaji wa kura umeliwa😂 kuna watu wanafaidika na shari. Sasa kilichobaki wajipange na sera. Kitu amacho hawana maana tumechoka kila siku kuwaskia mkiongelea kasoro tunazozijua. Mnaacha kusema mtafanya nini mnakazana kutafuta huruma ya wananchi.
Hakuna sera? Ilani ya 2020 ulisoma?
Sera ya ugatuzi/majimbo
Sera ya soko huria? Yaani miradi iendeshwe kwa PPP kupunguza mzigo na ufisadi serikalini.
Katiba mpya Ili kuleta uwajibikaji
Sera ya bima ya afya kwa wote
Uchumi wa kidijitali
Masoko ya usiku n.k

Sera hazijawahi kuisha kwenye chama chochote duniani maana changamoto za wanadamu zinabadilika Kila siku.
 
Wanaukumbi.

SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.

Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.

Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.

Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?

Kikwete hakuwaita wapinzani wote Ikulu?

JPM hakuwaita CHADEMA Mwanza sherehe za Uhuru?
CDM ni chama kikubwa, unataka kila jambo afanye Lissu? Mh. Mbowe bado anaendelea na majadiliano na ndiye mwakilishi wa CDM.
 
Lissu alishakutana na Mama Samia na amesema hapa kuwa alilipwa stahiki zake zote so sidhani kama hataki maridhiano.

Pia Jana Chadema walikutana kama kamati kuu kujadili progress ya maridhiano kikao ambacho Kilikua online na Lissu amehudhuria Sasa sielewi hizi drama unazotengeneza ni za nini.

Kwani Lissu hataki katiba mpya? Hataki mikutano? Hataki kurejea nchini? Mnajaribu sana kuitengeneza mgogoro ambao haupo, Chadema ni wamoja na focus ni katiba mpya na tume huru Ili 2025 mafisadi ya CCM yapishe ikulu.
Baada ya kula ubwabwa Mwenyekiti anasema swala la #KatibaMpya linahitaji MUDA.

Sasa walianzisha vurugu za mchakato wa Katiba Mpya za nini kumbe walikuwa wanajua linahitaji majadiliano kati ya vyama na wadau wengine wote?
 
Wanaukumbi.

SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.

Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.

Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.

Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?

Kikwete hakuwaita wapinzani wote Ikulu?

JPM hakuwaita CHADEMA Mwanza sherehe za Uhuru?
Naibu waziri wa ardhi na mmiliki wa sheli 75% Tanzania.
 
Lissu alishakutana na Mama Samia na amesema hapa kuwa alilipwa stahiki zake zote so sidhani kama hataki maridhiano.

Pia Jana Chadema walikutana kama kamati kuu kujadili progress ya maridhiano kikao ambacho Kilikua online na Lissu amehudhuria Sasa sielewi hizi drama unazotengeneza ni za nini.

Kwani Lissu hataki katiba mpya? Hataki mikutano? Hataki kurejea nchini? Mnajaribu sana kuitengeneza mgogoro ambao haupo, Chadema ni wamoja na focus ni katiba mpya na tume huru Ili 2025 mafisadi ya CCM yapishe ikulu.
Umemmaliza
 
Baada ya kula ubwabwa Mwenyekiti anasema swala la #KatibaMpya linahitaji MUDA.

Sasa walianzisha vurugu za mchakato wa Katiba Mpya za nini kumbe walikuwa wanajua linahitaji majadiliano kati ya vyama na wadau wengine wote?
Bila pressure unadhani Samia angewaita ikulu? Ni lazima ufanye intimidation Ili mtu aone mko serious hawakufanya hivyo kwa JPM na wote tunajua yaliyowakuta!!

Hawa Marais dhaifu unatakiwa uwatishe tishe kidogo maadam hawajazoea mshike mshike basi lazima wakuite ikulu. Na sio tu mikutano walitaka Sirro na Diwani wang'olewe na Mama kakubali!!

Uli under estimate sana nguvu ya Mbowe kwenye siasa za Tanzania ila muda umekua mwalimu mzuri sana. Mikutano hiyooo katiba mpya hiyooo tume huru hiyoooo siku akiwa waziri mkuu wako usikimbie nchi tu.
 
Nguvu ya Mbowe kwa Samia?
 
Hakuna sera? Ilani ya 2020 ulisoma?
Sera ya ugatuzi/majimbo
Sera ya soko huria? Yaani miradi iendeshwe kwa PPP kupunguza mzigo na ufisadi serikalini.
Katiba mpya Ili kuleta uwajibikaji
Sera ya bima ya afya kwa wote
Uchumi wa kidijitali
Masoko ya usiku n.k

Sera hazijawahi kuisha kwenye chama chochote duniani maana changamoto za wanadamu zinabadilika Kila siku.
Hizo mnazijua nyinyi mnaozipanga. Vijana mnaowashinikiza waandamane ukiwauliza sera hata moja kati ya hizo watakwambia? Kikubwa watakwambia tunataka uhuru. Uhuru wa nini? Wa kujieleza. Yani wamekaririshwa matatizo ya viongozi wao. Nawashauri tu. Kaeni mjipange. Mimi nnachoskiaga ni malalamiko tu!
 
Back
Top Bottom