PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Watu mmebarikiwa mioyo na vipaji vya kuwajibu kistaarabu watu wa aina hiyoLissu alishakutana na Mama Samia na amesema hapa kuwa alilipwa stahiki zake zote so sidhani kama hataki maridhiano.
Pia Jana Chadema walikutana kama kamati kuu kujadili progress ya maridhiano kikao ambacho Kilikua online na Lissu amehudhuria Sasa sielewi hizi drama unazotengeneza ni za nini.
Kwani Lissu hataki katiba mpya? Hataki mikutano? Hataki kurejea nchini? Mnajaribu sana kuitengeneza mgogoro ambao haupo, Chadema ni wamoja na focus ni katiba mpya na tume huru Ili 2025 mafisadi ya CCM yapishe ikulu.