Wenye shibe hawana keleleWanaukumbi.
SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.
Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.
Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.
Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?
Kikwete hakuwaita wapinzani wote Ikulu?
JPM hakuwaita CHADEMA Mwanza sherehe za Uhuru?
Lissu alishakutana na Mama Samia na amesema hapa kuwa alilipwa stahiki zake zote so sidhani kama hataki maridhiano.Wanaukumbi.
SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.
Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.
Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.
Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?
Kikwete hakuwaita wapinzani wote Ikulu?
JPM hakuwaita CHADEMA Mwanza sherehe za Uhuru?
Hakuna sera? Ilani ya 2020 ulisoma?Mtaji wa kura umeliwa😂 kuna watu wanafaidika na shari. Sasa kilichobaki wajipange na sera. Kitu amacho hawana maana tumechoka kila siku kuwaskia mkiongelea kasoro tunazozijua. Mnaacha kusema mtafanya nini mnakazana kutafuta huruma ya wananchi.
CDM ni chama kikubwa, unataka kila jambo afanye Lissu? Mh. Mbowe bado anaendelea na majadiliano na ndiye mwakilishi wa CDM.Wanaukumbi.
SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.
Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.
Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.
Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?
Kikwete hakuwaita wapinzani wote Ikulu?
JPM hakuwaita CHADEMA Mwanza sherehe za Uhuru?
wataibuka wengi tu, mdogo mdogo.Heh kumbe upo
Baada ya kula ubwabwa Mwenyekiti anasema swala la #KatibaMpya linahitaji MUDA.Lissu alishakutana na Mama Samia na amesema hapa kuwa alilipwa stahiki zake zote so sidhani kama hataki maridhiano.
Pia Jana Chadema walikutana kama kamati kuu kujadili progress ya maridhiano kikao ambacho Kilikua online na Lissu amehudhuria Sasa sielewi hizi drama unazotengeneza ni za nini.
Kwani Lissu hataki katiba mpya? Hataki mikutano? Hataki kurejea nchini? Mnajaribu sana kuitengeneza mgogoro ambao haupo, Chadema ni wamoja na focus ni katiba mpya na tume huru Ili 2025 mafisadi ya CCM yapishe ikulu.
Naibu waziri wa ardhi na mmiliki wa sheli 75% Tanzania.Wanaukumbi.
SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.
Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.
Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.
Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?
Kikwete hakuwaita wapinzani wote Ikulu?
JPM hakuwaita CHADEMA Mwanza sherehe za Uhuru?
Ili Lisu aendelee kulishwa na waume zake ni mpaka kuwe hamna amani TZ
Matusi hayana tija. Matusi Ni dhambi, Ni uasi kwa Mungu.Ili Lisu aendelee kulishwa na waume zake ni mpaka kuwe hamna amani TZ
UmemmalizaLissu alishakutana na Mama Samia na amesema hapa kuwa alilipwa stahiki zake zote so sidhani kama hataki maridhiano.
Pia Jana Chadema walikutana kama kamati kuu kujadili progress ya maridhiano kikao ambacho Kilikua online na Lissu amehudhuria Sasa sielewi hizi drama unazotengeneza ni za nini.
Kwani Lissu hataki katiba mpya? Hataki mikutano? Hataki kurejea nchini? Mnajaribu sana kuitengeneza mgogoro ambao haupo, Chadema ni wamoja na focus ni katiba mpya na tume huru Ili 2025 mafisadi ya CCM yapishe ikulu.
Bila pressure unadhani Samia angewaita ikulu? Ni lazima ufanye intimidation Ili mtu aone mko serious hawakufanya hivyo kwa JPM na wote tunajua yaliyowakuta!!Baada ya kula ubwabwa Mwenyekiti anasema swala la #KatibaMpya linahitaji MUDA.
Sasa walianzisha vurugu za mchakato wa Katiba Mpya za nini kumbe walikuwa wanajua linahitaji majadiliano kati ya vyama na wadau wengine wote?
Nguvu ya Mbowe kwa Samia?Bila pressure unadhani Samia angewaita ikulu? Ni lazima ufanye intimidation Ili mtu aone mko serious hawakufanya hivyo kwa JPM na wote tunajua yaliyowakuta!!
Hawa Marais dhaifu unatakiwa uwatishe tishe kidogo maadam hawajazoea mshike mshike basi lazima wakuite ikulu. Na sio tu mikutano walitaka Sirro na Diwani wang'olewe na Mama kakubali!!
Uli under estimate sana nguvu ya Mbowe kwenye siasa za Tanzania ila muda umekua mwalimu mzuri sana. Mikutano hiyooo katiba mpya hiyooo tume huru hiyoooo siku akiwa waziri mkuu wako usikimbie nchi tu.
Hizo mnazijua nyinyi mnaozipanga. Vijana mnaowashinikiza waandamane ukiwauliza sera hata moja kati ya hizo watakwambia? Kikubwa watakwambia tunataka uhuru. Uhuru wa nini? Wa kujieleza. Yani wamekaririshwa matatizo ya viongozi wao. Nawashauri tu. Kaeni mjipange. Mimi nnachoskiaga ni malalamiko tu!Hakuna sera? Ilani ya 2020 ulisoma?
Sera ya ugatuzi/majimbo
Sera ya soko huria? Yaani miradi iendeshwe kwa PPP kupunguza mzigo na ufisadi serikalini.
Katiba mpya Ili kuleta uwajibikaji
Sera ya bima ya afya kwa wote
Uchumi wa kidijitali
Masoko ya usiku n.k
Sera hazijawahi kuisha kwenye chama chochote duniani maana changamoto za wanadamu zinabadilika Kila siku.
Kwa vile wewe hapo lumumba unaishi kwa malipo ya kuingiliwa kinyume cha maumbile basi unaona wote ni mashoga kama wewe,shoga mwandamizi wewe unaliwa na kila mtu hapo lumumbaIli Lisu aendelee kulishwa na waume zake ni mpaka kuwe hamna amani TZ