KWELI Makamu wa Rais akishika nafasi ya Rais kwa muda wa miaka 3 au zaidi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Katiba haimruhusi.hata kama katiba ingekuwa inamruhusu watanzania tusingekubali kumchagua rais ambaye anaruhusu utekaji na uuaji wa watu hadharani
 
Acha kwanza amalizie hii deiwaka. Tuhakikishe hakuna wizi wa kura tuone kama atapata urais


Piga ua galagaza Hapo ni vijana wa Tanganyika kuhakikisha wazee zee kule vijijini hawatuchagulii Viongozi kuanzia serikali za mitaa kwa sababu wanadanganywa kuwa Nyerere bado yupo madarakani na CCM ni ile ile iliyokua na usawa na binadam wote ni ndugu.

Wazee kule vijijini washauriwe kukaa majumbani kwao siku ya uchaguzi ili wasituharibie kwa kutuchagulia mafisadi kwa rushwa ya khanga na tshirt.
Hawa wazee wa vijijini ndio wanaotuletea matatizo ya ukosefu wa ajira na ufisadi ,wabunge wanaotunga sheria za kuua watu kama kumbikumbi na wauaji kupandishwa vyeo kwa kuchagua viongozi wabovu.
 
Umekunywa chai?
 
Duh
Broo,
Kwa hiyo unataka Tanganyika ichakae kiasi gani?!!
 
Simchukii huyu mama..ila angetumia busara tu apumzike..
 
Sidhani kama wazee ni tatizo. Tatizo lipo kwenye ulinzi wa kura tunazopiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…