Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

Swali fikirishi. Kuna watu wanapenda kuwa na mafanikio ya harakaharaka ya kumiliki mali na fedha nyingi. Inawezekana wengine walifanyiwa mchezo mchafu wa kuingiliwa yaani kulawitiwa kama kafara badala ya kutoa ndugu afe. Sasa kama mtu utajiri wake ni kufanyiwa kafara la kulawitiwa, huyo mtu awekwe kundi gani miongoni mwa mashoga? Dunia ina mambo ya ajabu sana mashoga yanaonesha simu za gharama kubwa yakijisifu kuwa yamezipata kwa kulawitiwa
 
Sababu ya kumuua hakuna,Ila asiachwe kueneza/endeleza ushoga wake,zifanywe jitihada za kumtoa huko
Mkuu, kwani wao wanaeneza au wanataka tu haki zao? inabidi utofautishe hapo.

Mbona hakuna jitihada za kukutoa wewe huko kwenye heterosexuality? Ni kwasababu uhuru wako unaheshimiwa.

Kwanini na wewe usiheshimu uhuru wao?
As long as haikuathiri wewe kwenye maisha yako?
 
Huo siyo uhuru unaotakikana,wananitongoza Sana fb, binaadam akiachiwa huru kupitiliza shida sharti zitokee
 
Hao mashoga nyie mnawaona wapi mpaka mseme hali imekuwa mbaya ivo mana sie wengine hatuwaon huku mtaan kila mtu unamuona yuko fresh tu na mbishe zake au huwa mnawala ndio mnakuwa mnawajua ka wako wengi
HAWA WANAKUZA HII AJENDA ILI KUPOTEZA MABOYA KUHUSU TOZO NA MAISHA MAGUMU.

YULE CHIZI WA UGANDA ALIITUMIA HII MBWINU, LAKINI JANA KAPIGWA BITI NA MABEBERU KATOKOMEA SHIMONI.
 
Twende taratibu.

Sababu ya kutaka kumuua shoga ni ipi?

Na je ukimuacha afanye maamuzi yake kwenye mwili wake wewe unaathirika nini?

(Usiandike kwa mihemko tafadhali)
HALAFU HAWA WAPINGA USHOGA MARA NYINGI NI MASHOGA FICHE.

IMETHIBITISHWA NA SAYANSI ZA SAIKOLOJIA KUWA WATU HUCHUKIA KILE AMBACHO NI WAO.

NA WENGI WAO HAWA WANATAFUNA MAVI KWELI KWELI, LAKINI WAKIWA MBELE ZA WATU WANAJIFANYA KUFOKEA USHOGA.

HILI NALO TUTALITIZAMA.
 
Twende taratibu.

Sababu ya kutaka kumuua shoga ni ipi?

Na je ukimuacha afanye maamuzi yake kwenye mwili wake wewe unaathirika nini?

(Usiandike kwa mihemko tafadhali)
Kutembea uchi ya uchi ni sawa si sawa? Fkr na watoto wanakua
Haki zipo lakn znaukomo
 
hakuna mwanajimii mwenye akili timamu atafurahia kuona shoga akitaabishwa na kunyanyaswa. Hatuungi mkono ushoga ila mashoga ni watu na utu wao ulindwe
Utu gani achen kutetea ujinga imagine mwanao awe shoga huwez pata huu ujasir wa kusema cjui utu
Yaan dume kama demu
 
Bangi nikivuta mm namuathir nani mwingine
 
Wengine ndio maagano yao na Yule mwovu. "Ukitaka hiki,fanya hiki"
 
Lazima serikali itoe tamko mkuu. Kukaa kimya kunaweza kuleta tafsiri nyingi.
 
Yaani Tanzania na baadhi ya watanzania ni bure kabisa, sasa rais asemeje kwani ni janga la taifa hili, taasisi za dini za watu husika zipi, tupitishe sensa tujue wa dini ipi wako wengi na tutawatambua kwa majina yao, then hatua zichukuliwe
Acha udini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…