Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Tunaiunga mkono - watu waendelee na kazi. Full comma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli 😅🙏Usiyoyajua ni usiku wa manane mkuu.
Yaishie hapa tuu maana tunauwezo tofauti na tunajua tofauti.
Elimu hii inauzwa
Nafahau huwez nielewa hapa
We naye wa wapi? kwa hiyo hakuna mawasiliano ya polisi na polisi? radio call?hazitoshi watachelewa, je watajuaje kwamba bado dakika kumi apite?
Huku ni laana tupuMtumishi wa Mungu Dr Mpango!
Hapo Ireland Msafara wa Biden unapishana tu na magari mengine!
kinachofanywa na hao VIP huwa hawatoi taarifa ya uhakika mfano watawaambia police saa nne kamili nitapita mbezi ila kiuhalisia hatapita saa nne hii ni kwasabbau za kiusalama pia atakuja kupia saa nne na nusu au atno kasoro. kwa mantiki hiyo kama polisi na wengineo walipewa taarifa atapita mbezi saa nne wao watazuia magari kuzua 9:50 alafu yeye atakuja saa nne 30 au 40.We naye wa wapi? kwa hiyo hakuna mawasiliano ya polisi na polisi? radio call?
Kabisa ni usumbufu wa kijinga snAmeongea jambo la maana sana Mheshimiwa, polisi na wana usalama wanakera sana katika hili. Msafara unaweza kupangiwa utaratibu mzuri na kwa muda mfupi pasipo kuathiri shughuli nyingine za kiuchumi na kijamii.
Ni jukumu la polisi na wana usalama kuratibu, kupanga na kuongoza misafara ya viongozi kwa umakini mkubwa, cha msingi tu ni kuepusha kuuingiza katika msongamano. Na kweli jambo hilo linaweza kufanyika kwa dakika kadhaa na siyo kwa masaa.
Siyo kweli, mi siyo mtu wa usalama wala TISS nimeshiriki misafara mingi sn ya viongozi, kabla ya kiongozi kuondoka mnawapa taarifa polisi dak kama 15 kabla lakini wao wanakuwa tayari wapo kwenye hizo njia na hapo hapo inaondoka pikipiki then inafuata gari (king'ora) huwa zinaachiana dak 5 ndiyo kiongozi anaondoka mkuu. nimeshiriki sn hizi mambo nazijua ni ushamba tu wa polisikinachofanywa na hao VIP huwa hawatoi taarifa ya uhakika mfano watawaambia police saa nne kamili nitapita mbezi ila kiuhalisia hatapita saa nne hii ni kwasabbau za kiusalama pia atakuja kupia saa nne na nusu au atno kasoro. kwa mantiki hiyo kama polisi na wengineo walipewa taarifa atapita mbezi saa nne wao watazuia magari kuzua 9:50 alafu yeye atakuja saa nne 30 au 40.
Kama laishamwmabia IGP kitambo kama alivyosema na IGP akamgomea ni kwamba wanajua masuala mengi kuliko huyo MR.
Na ujinga piaKitendo cha Makamu wa Rais kuomba wananchi radhi kwa uzembe wa wa polisi, ilitakiwa IGP awe amesha ondoka ofisini kulinda heshima yake.
Lakini huku kwetu business as yesterday.
Umeshiirki msafara wa nani? isije kuwa RC au waziriSiyo kweli, mi siyo mtu wa usalama wala TISS nimeshiriki misafara mingi sn ya viongozi, kabla ya kiongozi kuondoka mnawapa taarifa polisi dak kama 15 kabla lakini wao wanakuwa tayari wapo kwenye hizo njia na hapo hapo inaondoka pikipiki then inafuata gari (king'ora) huwa zinaachiana dak 5 ndiyo kiongozi anaondoka mkuu. nimeshiriki sn hizi mambo nazijua ni ushamba tu wa polisi
kwa kipindi tu wanachofunga barabara, mambo mengi sana ya kiuchumi yanapungua, kiufupi wanarudisha nyuma uchumi na maendeleo kwa masaa yote hayo. wanaudhi sana sana.Huko Mbeya Mwezi January, ziara ya waziri Mkuu akienda mbarali walifunga barabara kwa masaa 6 kuanzia saa 12 asbh hadi saa 6 mchana. Huko ni kufedhehesha waTanzania
fikiria, apite waziri mkuu, apite rais, apite makamu, apite spika, apite IGP, mkuu wa majeshi anapita mara chache sana, hivi muda wote huo mnawasubiria, si wawe wanapanga ratiba vizuri basi ili muda wanaopita basi uwe reasonable. siku za jumapili wanakwamisha watu kuwahi ibada, siku za kazi nazo. halafu, mnaogopa nini hata mfunge barabara muda mrefu hivyo? nani atawauwa ninyi mnatembea na watu wenye marisasi? tanzania hatujafikia huko? au mnajisikia vizuri sana kutuona tumesimamishwa badala ya kuwahi madili ya pesa na watoto tumesimama ninyi mpite, ingekuwa muda wa kawaida sawa, sasa ni 45 minutes before, dakika hizo ni nyingii sana.Ule wa jiwe ulikuwa unachukua hata masaa 8 na mitandao inakuwa haipatikani[emoji42]
Mambo mengine kausha kama huelewi mkuu, msafara hauongozi na polisi mbali polisi wanapata maelekezo kutoka kwa mkuu wa msafara ambaye hata siyo polisi wala TISS, kazi yao ni kuhakikisha usalama upo kwa kiongozi husika. kazi njemaUmeshiirki msafara wa nani? isije kuwa RC au waziri
nafikiri wewe ndio huelewi Mkuu , mkuu wa wilaya msafara wake unafikiri anayeongoza ni nani kama si polisi? au msafara wa RC. ndio maana nimekuuliza uliwahi kushiriki kwenye kuongoza msafara wa nani? kama hujui tukusaidie pengine hata ikulu hujawai kuingiaMambo mengine kausha kama huelewi mkuu, msafara hauongozi na polisi mbali polisi wanapata maelekezo kutoka kwa mkuu wa msafara ambaye hata siyo polisi wala TISS, kazi yao ni kuhakikisha usalama upo kwa kiongozi husika. kazi njema
Nakupa taarifa sijawahi kuwa mtumishi wa umma lakini nimewahi kuwa kiongozi wa chama UVCCM kabla sijaachana na CCM.nafikiri wewe ndio huelewi Mkuu , mkuu wa wilaya msafara wake unafikiri anayeongoza ni nani kama si polisi? au msafara wa RC. ndio maana nimekuuliza uliwahi kushiriki kwenye kuongoza msafara wa nani? kama hujui tukusaidie pengine hata ikulu hujawai kuingia
Nyie ndio wale watumishi wa halmshauri Rais akija munashindiliwa kwenye Vigari vya halmshauri na nyie mukienda mtaani munaenda kusema muliongoza msafara wa Rais au Waziri Mkuu.