Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijanza leo hii. Ni kiaka yote watu wanalalamika. Kwa nini wasifanye kama nchi zilizoendelea? Pikipiki za polisi zinapishana kusimamisha magari kwenye junctions.Sidhani km ana maanisha hilo.
Huko Mbeya Mwezi January, ziara ya waziri Mkuu akienda mbarali walifunga barabara kwa masaa 6 kuanzia saa 12 asbh hadi saa 6 mchana. Huko ni kufedhehesha waTanzaniaUkweli siyo fair kufunga masaa 4 kwanini wasifunge hata 30 minutes
Mpango kasoma alama za nyakati sijui CDM wanakwama wapi.Wanatukwamisha sana ila watasema ni mambo ya kiprotokali
Kwa hilo anastahili pongezi, ngoja tuone utekelezajiMpango kasoma alama za nyakati sijui CDM wanakwama wapi.
Kujua kero za wananchi wako hiyo ni hatua muhimu sana mbele.
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao.
Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa kwa saa nne ili veve apite "Nilishamwambia IGP na nirudie kuwaambia Makamanda wa Polisi wa Mikoa, mambo ya kufunga barabara kwa masaa mengi kisa tu Mtoto wa masikini Philip Mpango anapita hapana"
"Jana naambiwa mmefunga Barabara mpaka masaa manne haiwezekani, kwanini?, sitaki kusikia tena hili linajirudia, muambizane na wanaopokea msafara huko tutakakopita"
"Acheni Wananchi wapite kwani dakika 10 hazitoshi), masaa manne kweli!? Nawaomba radhi ya dhati kabisa Wananchi"
======
Kauli ya Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango inafuatia Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani Jijini Mwanza kufunga Barabara kwa Saa 4 katika ziara yake na kusababisha foleni na adha kwa Watumiaji Barabara wengine.
Kitendo hicho kimefanya Dkt. Mpango kuwaomba radhi Wananchi huku akiwahoji Polisi kama Dakika 10 hazitoshi kupisha Misafara. Pia, amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na Makamanda wa Polisi wa Mikoa yote kutorudia tena utaratibu huo.
Kumekuwa na Malalamiko ya Wananchi ya mara kwa mara kuhusu Misafara ya Viongozi kusababisha Foleni na usumbufu katika maeneo mbalimbali Nchini lakini bado suala hilo halijapatiwa ufumbuzi.
Simply, nampa pole mtoto wa mkulima Phillip Mpango kwa kuona jinsi machawa wa polisi wanavyoumiza wananchi.Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao.
Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa kwa saa nne ili veve apite "Nilishamwambia IGP na nirudie kuwaambia Makamanda wa Polisi wa Mikoa, mambo ya kufunga barabara kwa masaa mengi kisa tu Mtoto wa masikini Philip Mpango anapita hapana"
"Jana naambiwa mmefunga Barabara mpaka masaa manne haiwezekani, kwanini?, sitaki kusikia tena hili linajirudia, muambizane na wanaopokea msafara huko tutakakopita"
"Acheni Wananchi wapite kwani dakika 10 hazitoshi), masaa manne kweli!? Nawaomba radhi ya dhati kabisa Wananchi"
======
Kauli ya Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango inafuatia Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani Jijini Mwanza kufunga Barabara kwa Saa 4 katika ziara yake na kusababisha foleni na adha kwa Watumiaji Barabara wengine.
Kitendo hicho kimefanya Dkt. Mpango kuwaomba radhi Wananchi huku akiwahoji Polisi kama Dakika 10 hazitoshi kupisha Misafara. Pia, amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na Makamanda wa Polisi wa Mikoa yote kutorudia tena utaratibu huo.
Kumekuwa na Malalamiko ya Wananchi ya mara kwa mara kuhusu Misafara ya Viongozi kusababisha Foleni na usumbufu katika maeneo mbalimbali Nchini lakini bado suala hilo halijapatiwa ufumbuzi.
Umeongeza chumvi mno,lisaa lizima magari yanapita,wapi uko?Tatizo Magari ya msafara nayo yanakuwaga mengi mno,yakiaanza kupita ni all most li saa yanapita hayo tu! Wapunguze Magari kwenye msafara,yabaki hata Magari matano tu, kweli dakika kumi zitatosha! Wwe gari karibu 50 ziko kwa msafara unazani hizo dk 10 zitatosha!!??
Zilongwa mbali zitendwa mbali !! Nakazia !!Zilongwa Mbali
Zitendwa Mbali
Lakini hata kama kuna kuchelewa kwa namna yeyote ile mbona Askari wote wanazo simu za mkononi na pia Radio call wanazo ni vipi wasifanye calculations za masaa ili kujua badala ya saa fulani sasa itakuwa saa fulani na mara moja waruhusu njia iwe wazi kwa magari mengine kupita mpaka muda ukisha karibia wanawasiliana tena na njia inafungwa tena ! Very simple !!Wale walosomea propaganda na vitu vinavyofanana na hivyo watakuwa wanafahamu.
Nakuchafua wewe ninufaike mimi.
Nakufanya uonekane hutumii akil ika mm tu ndo natumia akili.
Tujiulize hao watu walofunga njia hawakujua muda rasm wa mpango kupitaaa? Jibu walikuwa wanafahamu. Sasa swali kwanini wakafunga njia mapemaa hivyooo? Masaa manne n mengi sana. Sasa kwanini walifunga muda woteeee?
Jibu ni kuwa alichelewa kupita kulingana na muda ambao alitegemewa kupita au kufika. Sasa alijuwa wapi hadi kuchelewa kote hukoooo?. Je kulikuwa na update za kuchelewa kwake ambako askari hao wangeambiwa ili wafungue njia ili waje kufungua 30/15min kabla hajapita.
Dar kunaviongoz wengi na kila mara wanaenda na kurud uwanja wa ndege ila njia haifungwi masaa yote. Dar inamagar mengi nadhan kuliko mikoa mingine ila masaa manne si rahisi labda kule kwenye ujenzi wa miundo mbinu.
Kuchelewa kwake kulifanya njia ifungwe kwa muda mrefu ila angefika kulingana na muda ambao ratiba yake ilikuwa imeelekeza hilo tatizo lisingekuwepo.
Mpango hujatendea haki askari walokuwepo katika majukumu yao kuhakikisha usalama wako na walokuwa wanahakikisha unapita salama.
Acha nirudi shuleni nikasome zaid katika propaganda na yale mambo mengine ya kuharibu alafu unakuja na ufumbuzi ili nionekane mm ndo mfumbuzi wa changamoto za wananchi
NALIA NGWENA
Ule wakati umeshapita tunazungumzia wakati uliopo !!Ule wa jiwe ulikuwa unachukua hata masaa 8 na mitandao inakuwa haipatikani[emoji42]
Mtumishi yeyote wa uma, anayelipwa kwa mshahara wa kiutararatibu na sheria, kama ametoka katika familia masikini, ataendelea kuwa masikini wa hali fulani ya juu, vinginevyo awe mwizi au fisadi.Huo ni unafiki wao wa kutukana masikini
Kama amesema hivyo basi ni msemo wa kukejeli masikini
Wakati mwingine mnawapuuza hata wakisimama mnatawanyika tu
Hizo ndio zao ooh mtoto wa masikini
Wanajua umasikini ni laana na wanatuchora tu
Ana umasikini gani si atembee kwa miguu sasa
Usiyoyajua ni usiku wa manane mkuu.Lakini hata kama kuna kuchelewa kwa namna yeyote ile mbona Askari wote wanazo simu za mkononi na pia Radio call wanazo ni vipi wasifanye calculations za masaa ili kujua badala ya saa fulani sasa itakuwa saa fulani na mara moja waruhusu njia iwe wazi kwa magari mengine kupita mpaka muda ukisha karibia wanawasiliana tena na njia inafungwa tena ! Very simple !!
Sasa tume ya Mipango ilikuwa na Mipango gani zaidi ya kula pesa tu?Acha kuwavisha wahuni vilemba vya ukoka! Huyo aliyevunja Tume ya Mipango ambayo hivi sasa bunge fake linalilia irudishwe!
Politics, huwezi kumjua mwanasiasa hili si kweli........ mwanasiasa ni mjanja mjanja anajua kutengeneza mazingira ya kuonekana anajali.......ila kiuhalisia si kweli ni kutengeneza public attention tuNamjua mpango ana maanisha kabisa