Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023
images (3).jpeg

👆
jamaa akikata umeme atatufedhehesha sana.
 
Nimeangalia video ya mapokezi ya VP Kamala akipokelewa na VP Philip Mpango? Hii imekaaje watu wa protocally ukizingatia uzito wa USA unamfanya VP wake kuwa juu pia!!
 
We unadhan toka anaanza safar hakujua kuwa atapokelewa na Vice mwenzake?

Nakushauri sasa, Ukisikia Mtu anaitwa Rais, jua level game ni kubwa sana hata kama anatokea nchi maskini.

Tambua sasa kuwa, Rais sio sawa na Makamu wa Rais!
 
Nimeangalia video ya mapokezi ya VP Kamala akipokelewa na VP Philip Mpango? Hii imekaaje watu wa protocally ukizingatia uzito wa USA unamfanya VP wake kuwa juu pia!!
Wew ulitakaje ,mbona walivopakiwa kwenye mabasi siku za nyuma uko nchi za mabeberu hukuhoji mbwaa😅😅
 
Back
Top Bottom