Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023
Nimeangalia video ya mapokezi ya VP Kamala akipokelewa na VP Philip Mpango? Hii imekaaje watu wa protocally ukizingatia uzito wa USA unamfanya VP wake kuwa juu pia!!
...SI amepokelewa na VP Mwenzake? Inatosha, tusijishushe Sana! Tuna thamani. Raisi Wetu ampokee Naibu Raisi Wao ???
 
Kwa hyo siku akija Rais atapikelewa na Nan
Mbn hvyo n vitu vy kujiongeza, ingekuwa Rais amepokewa n Vc nd tungehoji
 
Ata wewe ukiwa na wageni wanashuka stendi ya basi unaweza tuma boda, tax au wasaidizi wako wakawapokee. Wewe unabaki nyumbani kusubiri kumkaribisha mgeni wako.

Iko sawa kabisa.
 
Sitaki kuamini wazungu wamekuwa watu wakuja Afrika usiku kwa kujificha dah
Kila kitu na wakati wake kabisa
Walivyo kuwa wanapokelewa Afrika hawa watu ata akija mlinzi wa rais wa white house ya Marekani anapokelewa na marais wa nchi zetu uku akina baba zetu na mama zetu wakiwachezea na kuwapa sijui zawadi za maua mzungu kwetu alikuwa kama Miungu midogo sasa ivi wanakuja Afrika kwa kujificha
Kwa heshima zao tu watupe elimu ya technologia na sisi tuwe tunafanya vya kwetu hiyo ndo njia bora ya kumkomoa mchina Afrika
Maana bila ivo wao watapoteza na Afrika itapotea kwa mchina
 
Back
Top Bottom