Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

Siku ya kufa nyani miti yote huteleza... Marekani inatapatapa kila mahali kutafuta ushawishi unaoporomoka mithili ya barafu juani
 
Huku kupenda vya Bure ndio maana mnafumuliwa marinda[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini Jiwe hakukaza kama Museveni,Ruto au Mugabe?
Jiwe alikaza kuliko Museveni, Ruto na Mugabe combined!

Nani duniani, amewahi kumwambia mzungu usoni "unafanya mambo ambayo mbuzi hafanyi" ??

Mchina, Mrusi na Mwarabu hawajawahi kumtamkia Mzungu karipio kama hilo, pamoja na manguvu ya petroli, nuclear, na mapesa. Mkulima wa dunia ya tatu ndie aliyekuwa na guts and brilliance ya kujaribu.

Harris asingethubutu kufikiria kuleta kiguu na agenda during the convicted sovereignty that defined Pombe Magufuli's regime.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana watu washalipwa na mitambo inatetema!! Upo huko Ikulyamabambashi mambo ya ubungo utayajulia wapi?
 
Mbona hatukuona vitendo zaidi ya porojo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe unajua tatizo la wabongo wanafikiri nchi South korea walijitenga na america angalia ilivyo sasa ukilinganisha na kwa kiduku watu masikini hawana uhuru kumiliki gari anaruhusiwa mjeshi na mtumishi mkubwa serikalini wengine mwendo wa baiskeli na public transport visa kutoka mwiko rais anateneza makombora tu raia Bora ya sisi wabongo
 
Kama tunashindwa kujitawala tuingie mkataba watutawale kwa miaka 10 tuone tatizo ni nini haswaa.
 
Sasa Harris yeye ana shida gani? Mtu anaishi nchi ya maziwa na asali na tena ni Number 2 wa nchi yenye uchumi mkubwa duniani.

Si ajabu umeomba DV Lottery 2024 unasubiria mchongo hahahah!
 
..Je, atapata nafasi ya kuonana na viongozi wa vyama vya UPINZANI?
Upinzani uko wapi Tanzania, mbowe asharudi kwao alikotoka kitamboo sasa ni asante mama tu kwisha habari yenu, lissu kajichimbia belgium ataweza wap tena maisha ya Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ