Makamu wa Rais, Samia Suluhu akutana na Mkuu wa Kanisa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo

Kanisa kwanza, serikali baadaye. Kanisa ni kazi ya Mungu, ilihali serikali ni kazi ya wanadamu. Serikali hazidimu, kanisa litadumu milele
Mbona Shoo kanukuu maneno ya Mwanasiasa Nyerere badala ya Biblia? Hapo tu kuchemka .Hana cha Kazi ya Mungu huyo ana Kazi ya chadema
 
Ujembe wake umesheheni mambo makuu man4:
1) Kusimamia haki (asishirikiane na wenye mamlaka kuipoka haki ya mnyonge)
2) Kuepuka kiburi cha madaraka
3) Kutunze utakatifu na usafi wa kanisa
4) Kutojipendekeza ili uheshimiwe
 
Ujembe wake umesheheni mambo makuu man4:
1) Kusimamia haki (asishirikiane na wenye mamlaka kuipoka haki ya mnyonge)
2) Kuepuka kiburi cha madaraka
3) Kutunze utakatifu na usafi wa kanisa
4) Kutojipendekeza ili uheshimiwe
Tathmini nzuri hiyo
 
Huyu Mama Samia hata kule Bunge la Katiba alijitahidi kuweka hekima mbele akiwa Naibu Spika.
Ila wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu 2015 maji yaliwafika shingoni kuna muda alikuwa anarusha vijembe kuoza.
 


Huku akinukuu maneno ya Mwalimu Julius Nyerere, Askofu Shoo amesema, “pale kanisa litakaposimama na watu wenye mamlaka na kumsahau mnyonge hilo halistahili kuwa kanisa na wala hastahili kuwa mtumishi wa Mungu.”


Naona hilo ni JIBU kwa Muadhana Kadinali MatundaMengi {Polycarp} Pengo aliyemnukuu JK Sr kutochanganya dini na siasa.

Uzuri wa wasomi wanaojielewa.

Bazazi
 
Bila kuzingatia ukanda utakuwa huna hoja?
 
Nchi ingeongozwa na huyu mama (except ccm) , watu wasiojulikana tungekuwa tunawasikia nchi jirani tu.
 
..hili kanisa la Kkkt safari hii limepata kiongozi jasiri sana..sio wale kina malasusa wahuni wenye kula Na kina bashite Na wake za watu....roman wao wana kimeo chao pengo ambaye kila leo anapingana Na maaskofu wenzake kwa sababu ya kuwalamba watawala...
 
Niulize tu, Mama Samia amejituma kwenda Tabora kukutana na Baba Askofu? Mama Samia alijichagua kuwa Makamu wa JPM? Kama jibu ni hapana, ametumwa na JPM, alipendekezwa na JPM, sasa mwenye busara zaidini nani? Naamini hata huo mwaliko ulipelekwa Kwa Rais!Ninachoona mimi ukubwa in jalala! Makosa yoteya Govt lazima abebeshwe JPM! OK. Ikatokea ilivyotokea wamekaa ikaonwa who is neutral ,aende Kwa ajili ya utangamano wa nchi hata JPM ana busara sana ila kwa vile watu tumeguswa tu kwa mengi! Lakini Kwa mstakbali mwema was Taifa, tumtakie meme!
 
Namuona mzee wangu Mwanri a.k.a no stone will be left unturned.... saivi kapooa kimya!
 
Kuna mtu kanitonya kitu hivi hiyo dayosisi eneo la mpanda ni sehemu ya hiyo dayosisi ya askofu mteule Laizer?
 
Uongozi ni Busara na mama amefanikiwa kupewa Busara na Mola mwenyewe....mambo mengine ni asili ya mtu.
Nimeona umempongeza kiutu uzima na kumnanga mwingine kwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…