Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Mimi hua natoa sanaDaaah Binadamu Mtakatifu Unajikosesha Baraka kwa Kutokutoa Sadaka kwa Hao Wa Kanisani!?
Mungu amekuuumba Kwamba usipompa Anakunyima Baraka! Yaani Mungu amekuumba Amekupa Uwezo wa kutengeza Pesa ila Ukimnyima hizo Pesa Anakunyima Baraka
Ungejiuliza kwanza Hata Washenzi..Wezi..Majambazi..malaya..Mafisadi.. Wachoyo wamepewa Baraka za Kuishi vizuri hapa Duniani kuliko wale ambao Hawafanyi madhambi hayo
Mungu amekuwekea Akili Hapo Ulipo baraka zako utazipata Ukitumia akili zako vizuri kutafuta Vitu. Hao wanaoiba ..wanafanya ufisadi .. wanaofanya uzinzi.. wote wanamtegemea Mungu ila Wanachokosa ni Kumtii Mungu basi
NakaziaSijui. Lakini nahisi kama pana ukweli fulani hivi. Ngoja nisubiri wengine.
Kujiwekea Hazina isiyo haribika mbinguni ni kuwa mtoaji hapa duniani sisemei kanisani tu ila hata kwa wajane maskini na wasio jiweza ni bora kila mtu akabaki na imani ambayo anaamini itamponya...Ngoja Nikuambie Kitu kimoja Ndugu yangu. Ulishajiuliza kwanini Kuna Mirundikano ya Michango ila Ina Badilika Majina Tu. Leo Sadaka.. Kesho Zaka. Kesho kutwa Harambee..Mwakani hiki na hiki n.k Ni njia ya Kukupumbaza Ili uone Mungu ndio anataka Kumbe Sivyo
Mungu hakuchukii usipotoa sadaka wala Zaka. Mungu hachukii Mtu Yeyote yule ni Wewe na Akili yako Keshakuumba . Hana Haja ya Kuhitaji Chochote kile angehitaji hayo Asingekuwa Mkamilifu Huyo Mungu maana Anahitaji vitu kutoka Kwako ili Akamilike.
Kutoa sijapinga Tatizo unatoa Wapi.Mimi hua natoa sana
Kujiwekea Hazina isiyo haribika mbinguni ni kuwa mtoaji hapa duniani sisemei kanisani tu ila hata kwa wajane maskini na wasio jiweza ni bora kila mtu akabaki na imani ambayo anaamini itamponya...
Sasa kwa mfano Mimi ni mmakonde nalaaniwa na mzimu wa shimo la mungu au Mungu wa wa Ebrania?Pia hivyohivyo ila kwenye zaka ni laana zinakufuata na unazikosa baraka
Inaonyesha kiasi gani hujapata ukweli. Soma tena mada. Utaendelea kunyonywa halafu kizazi chako kitakuja kuona huyu mzee Alipotoka maana tunakoelekea Hakuna atakayeyaamini hayo makanisaTafuta saccos ujiunge maana naona unataka makanisa yaanze kufanya majukumu ya saccos.
Kanisa ni kanisa na saccos ni saccos.
Jitahidi kuheshimu nyumba ya Ibada.
Huo umakonde wako hauta jalisha kitu kwa MUNGU wakweli Aishiee pia laana inatoka kwa aliye ijua kweli ila akaamuua kuendelea na mizimu yakeSasa kwa mfano Mimi ni mmakonde nalaaniwa na mzimu wa shimo la mungu au Mungu wa wa Ebrania?
Swala la unamuabudu nani na kwa namna gani halipo wazi hata kwenye kitabu Chako Cha dini, Kuna uhuru mkubwa wa kuchagua utakachotambua kama ukweli kwa mtazamo wako, mf Kuna kristo zaidi ya mmoja kwenye kitabu Chako Cha dini Ila wewe na wenzako mnamtambua Yesu ndio Kristo pekeeHuo umakonde wako hauta jalisha kitu kwa MUNGU wakweli Aishiee pia laana inatoka kwa aliye ijua kweli ila akaamuua kuendelea na mizimu yake
Hujaielewa kabisa,soma tenaKaa chini na Akili yako Mwenyewe Jiulize aliyeandika Hayo ni Nani! Kama Yameandikwa na Binadamu mwenzako basi Jua Umepigwa.
Mungu hajawahi andika chochote kile
Mungu hajaandika Chochote kile hayo ni Mawazo ya Kibinadamu Tu Yaliyowekwa Kwenye Maandishi. Kwahiyo ni kupoteza Muda kusomaHujaielewa kabisa,soma tena
Kwani Hao wanaoitwa Watakatifu huko Makanisani si Mizimu!? Mpaka Muone Wengine wanaendelea na Mizimu Wakati hata huko makanisani Wapo PiaHuo umakonde wako hauta jalisha kitu kwa MUNGU wakweli Aishiee pia laana inatoka kwa aliye ijua kweli ila akaamuua kuendelea na mizimu yake
Usichojua wasomi ndio wamejazana huko kwenye makani ya manabii na waganga.
Imeandikwa watakula madhabahuni
“Na Bwana vivyo hivyo ameamuru kwamba wale waihubirio Injili wapate riziki kwa hiyo Injili" 1 Wakorintho 9:14
sema hawa jamaa siku hiz wengi hawaubiri injili bali wamekuwa motivational speaker na wafanya biashara
😳Bado naitafakari user name yako
Ungempa Huyo Jamaa Yako Usingepoteza.
Maana Kumbuka Tayari ulishatoa Sadaka Kanisani kwa mungu wa Kanisa hilo..
Kama Tayari umeshatoa Jua Kwamba Ulinyemnyima Muujuza Wa Mungu mwenye vyote umekufundisha Jambo. Hao uliowapa Hawajawahi mpa Mungu hizo sadaka wanapeleka wanapopeleka