Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mmekutana wote wawili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiki kichwa hakivuti kinatafuna mbegu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmekutana wote wawili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiki kichwa hakivuti kinatafuna mbegu
Weeeh!! Acha kufananisha kichwa changu na cha huyo shindikana.Mmekutana wote wawili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli mimi jambazi ?Sitakii poker baki naye wewe bora huyu jambazi niliyemzoea kuliko kiumbe kipya [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pwagu na pwaguzi ila me nawapenda hivyohivyoWeeeh!! Acha kufananisha kichwa changu na cha huyo shindikana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli mimi jambazi ?
Au shuny anipe ruksa ya wewe kudate masaa 4 tuone kama tutawezanaWeeeh!! Acha kufananisha kichwa changu na cha huyo shindikana.
Kwelii umenichokaa ...nishakuwa pwagu mimi au pwaguzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pwagu na pwaguzi ila me nawapenda hivyohivyo
[emoji1787] Mtawezana bwana me natoa ruksaAu shuny anipe ruksa ya wewe kudate masaa 4 tuone kama tutawezana
Wakiachana atarudi tu hapa mwisho wa reli
Hivi haya mambo ya kupeana wapenzi bado yapo nauli akupe poker si ndio unayempenda
Mnitumie nauli🤣Ukirudi dar naweka mpya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi haya mambo ya kupeana wapenzi bado yapo nauli akupe poker si ndio unayempenda
[emoji1787] Ata sijui nacheka niniWakiachana atarudi tu hapa mwisho wa reli