Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Mshahara wa mwalimu sawa na boom tu la mwanafunzi wa chuo kwa semister
 
Hao mashoga wala usiwaamini. Kalikuja kamoja nikawa nakafanyia interview kamegraduare LAW. nikakauliza mshahara wake wa chini kabisa tsh ngapi. Kakaniambia mil 3.

Leo hii kanafanya kazi kanalipwa 600,000.
Taasisi nchi hii ambazo zinalipa mshahata milioni 1 kwa muajiriwa mpya ni za kuhesabu,ukiachana na private sectors ambazo wanajitahidi kiasi kuna NGO's ambazo nazo kupata chaka huko kama baba yako sio waziri ni kama haiwezekani.

lakini watu wanavyoleta dharau kwa waalimu humu,mh utadhani wanalipwa milion 5😁😁
 
Mkuu nakumbuka ulisoma mechanical engeneer, hongera
Yeah mkuu Nashukuru Mungu, Sasa hivi nipo kwenye Oil & Gas, sihaba aisee maana kwenye hio pdf naolingana nao wapo kwenye I huko, nabado na marupurupu pemben na na Miaka 6 tu Tangu nimalize. Kwahio ngoja niendelee kumuheshimu na kumtii Line manager wangu, maana nje ya uwezo wangu yeye pia kashikilia kibarua changu.
 
Ni kweli mkuu, komaa mno pia jitahidi kuwekeza pia.
 
Acha kujipa moyo mzee huo mshahara kwa degree holder ni ndogo sana kwa maisha ya sasa.
 
Wote mkuu
 
We ni bwana shamba wa private sio?
 
Lete na wahandisi, tuone ikojee huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…