Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Bila ya kuweka salary slip yako hapa, hatuwezi kukuaminiShida mnawasakama walimu sana, mimi ni Mwalimu namzidi mshahara mhasibu wa halmashauri, kwanini Zigo lote mnawatupia walimu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila ya kuweka salary slip yako hapa, hatuwezi kukuaminiShida mnawasakama walimu sana, mimi ni Mwalimu namzidi mshahara mhasibu wa halmashauri, kwanini Zigo lote mnawatupia walimu?
Kwani ninataka uniamini?Bila ya kuweka salary slip yako hapa, hatuwezi kukuamini
Je mshahara wa mhasibu, mchumi, afisa ugavi, nurse, co, n.k ni ngapi? Nani anaemzidi mwalimu?Mshahara wa mwalimu sawa na boom tu la mwanafunzi wa chuo kwa semister
Taasisi nchi hii ambazo zinalipa mshahata milioni 1 kwa muajiriwa mpya ni za kuhesabu,ukiachana na private sectors ambazo wanajitahidi kiasi kuna NGO's ambazo nazo kupata chaka huko kama baba yako sio waziri ni kama haiwezekani.Hao mashoga wala usiwaamini. Kalikuja kamoja nikawa nakafanyia interview kamegraduare LAW. nikakauliza mshahara wake wa chini kabisa tsh ngapi. Kakaniambia mil 3.
Leo hii kanafanya kazi kanalipwa 600,000.
Yeah mkuu Nashukuru Mungu, Sasa hivi nipo kwenye Oil & Gas, sihaba aisee maana kwenye hio pdf naolingana nao wapo kwenye I huko, nabado na marupurupu pemben na na Miaka 6 tu Tangu nimalize. Kwahio ngoja niendelee kumuheshimu na kumtii Line manager wangu, maana nje ya uwezo wangu yeye pia kashikilia kibarua changu.Mkuu nakumbuka ulisoma mechanical engeneer, hongera
Ni kweli mkuu, komaa mno pia jitahidi kuwekeza pia.Yeah mkuu Nashukuru Mungu, Sasa hivi nipo kwenye Oil & Gas, sihaba aisee maana kwenye hio pdf naolingana nao wapo kwenye I huko, nabado na marupurupu pemben na na Miaka 6 tu Tangu nimalize. Kwahio ngoja niendelee kumuheshimu na kumtii Line manager wangu, maana nje ya uwezo wangu yeye pia kashikilia kibarua changu.
Acha kujipa moyo mzee huo mshahara kwa degree holder ni ndogo sana kwa maisha ya sasa.I loved you mentality dude. The same traits we share. Hakuna hela ndogo ni mawazo madogo mtu anayo. Kuna mtu kwa iyo utakuta ana hela na vitega uchumi vingi kuliko mwenye kuchukua net ya 3M. We can bet. The problem is in our mind , within ourselves but we try to throw blame to external factors instead of internal factors.
Yeah mkuu kuwekeza ndio jambo la muhimu kwenye hivi vibarua vyetu, maana huku private sector hapatabiliki. Ingawa ni pazuri Kwa Career growith.Ni kweli mkuu, komaa mno pia jitahidi kuwekeza pia.
Kama kweli wewe ni February inaweza kuwa kweli. Lakini kama ni yule wa kuchonga endelea kuwafunga watu kamba za katani.Mimi bima tu ni zaidi ya milioni wanakata
Mshachoka na nani.?Tushachoka na hizi nyuzi zinatuzidishia machungu na hasira tu kazi kuongea tu kufanya vitendo kama wakenya aaaaah tutolee hizo nyuzi za kike hapa
We unajua mwalimu akistaafu anapewa kiinua mgongo Cha shi ngapiSecurity ya LAKI TATU?
Huu ni ujinga kabisa!
Actually ni ULEMAVU.
Hamna mwalimu anaepokea laki tatu wa shule ya msingi wenyewe wanapokea 419000Security ya LAKI TATU?
Huu ni ujinga kabisa!
Actually ni ULEMAVU.
Hapana ni 716kYeah ni Kweli nimecountercheck Afisa ugani wa kilimo anachukua TGs D Ni sawa na hiyo
Wote mkuuNdio, walimu wa science wanawazidi walimu wa art kama 50,000/= waliweka hii kama promotion kwa walimu wa science, walimu wa art inasoma hiyo uliyoandika hapo, lakini wa sciencee tulianza na 822k, nimeajiriwa 2022 kwa physics naelewa nachosema...
Wafanyakazi wa halmashauri woote njaa kali tu hakuna mwenye uafadhali,
We ni bwana shamba wa private sio?Nimepitia hio Pdf aisee, ngoja niendelee kumuheshimu Line manager wangu, huku nikiendelea kupiga kazi Kwa ari juhudi na nguvu zangu zote nikiendelea kujenga vitega uchumi pembeni. Maana nimegundua wafanyakazi wengi wa Serikali japo Wana security ya kazi lakini wanaishi maisha magumu.
Lete na wahandisi, tuone ikojee huko.Afya wote wanamzidi Kuanzia diploma na kuendelea..
TGHS B ni diploma Na ni 740,000/=
TGHS C ni Advance Diploma ni 1,040,000/=
TGHS D NI Bachelor ya Manurse na Phamarcy ni 1.2Mil
TGHS E Ni bachelor ya Daktari ni 1.5Mil
View attachment 3042129
Wafanyakazi wa mahakama...
TJs 1.1 ambayo Ni certificate na makarani wenye cheti ni 660k
TJS 2.1 makarani wa Diploma ni 981k
TJS 3.1 mawakili na Maafisa wengine wenye Bachelor 1.39 Milion..
mahakimu na Maafisa wengine waandamizi wanaendelea chini..
View attachment 3042132
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshahara wa mwalimu sawa na boom tu la mwanafunzi wa chuo kwa semister