Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Sadaka ni shukurani
 
Mwalimu wa Daraja E anapata basic salary ya 990k

Take home ni karibu 790k

Anachochukua kwenye ATM ni siri yake

Maisha ni akili

Wengine kwa hiyo hiyo,pamoja na akili ya mtaani anaishi maisha mazuri ila wengine njaa tupu
Sawa mwalimu tumekusoma na kukuelewa kutokea Ziwa Tanganyika
 
Halafu jaribu kupitia mahali mtu amefungua Hospital yake,biashara kubwa tu kaangalie kodi anayolipa kwa mwaka mzima hata laki moja haifiki
Muongo, wewe kodi unaiongelea kwenye Corporate Tax unasahau PAYE,SDL, etc
 
Kwahiyo unahisi ccm wakitoka ndiyo mishahara itapanda
Tatizo sio CCM, tatizo ni umasikini na kutojitambua kwa wananchi.
Sisi ndo twaiweka CCM madarakani, na sisi ndo twaweza itoa CCM madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…