Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Yani Mungu aweze kuumba mbingu na dunia, halafu amuumbe binadamu, then Mungu aombe pesa kwa binadamu? Na hizi pesa si ni Man made? Ukitumia common sense huoni hapo dini zote ni Utapeli mtupu?

Hivi vitabu kuna verse watu wameingiza project zao binafsi siyo kweli, Mungu hawezi kumtegemea binadamu wakati ana uwezo wa kusema iwe na ikawa.
Sadaka ni shukurani
 
Mwalimu wa Daraja E anapata basic salary ya 990k

Take home ni karibu 790k

Anachochukua kwenye ATM ni siri yake

Maisha ni akili

Wengine kwa hiyo hiyo,pamoja na akili ya mtaani anaishi maisha mazuri ila wengine njaa tupu
Sawa mwalimu tumekusoma na kukuelewa kutokea Ziwa Tanganyika
 
Halafu jaribu kupitia mahali mtu amefungua Hospital yake,biashara kubwa tu kaangalie kodi anayolipa kwa mwaka mzima hata laki moja haifiki
Muongo, wewe kodi unaiongelea kwenye Corporate Tax unasahau PAYE,SDL, etc
 
Back
Top Bottom