Jimmy MUsa
JF-Expert Member
- Oct 14, 2020
- 235
- 170
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Nimecheka sana,ila kwenye kutafuta kura wanaipata pata mpaka huruma washee haoKuna mtu anaingia bungeni anasinzia tu, akishtuka anagonga gonga meza kikao kikiisha anapokea posho, jioni unamkuta rainbow au bambalaga, then mwisho wa mwezi anakunja mara 10 ya hicho kipato. Amaa kweli dunia uwanja wa fujo
Nimecheka mpaka majirani wametika nje ![emoji16]We mwanajeshi ushafyeka nyasi kipande chako leo?
Au uko zamu ya kulala getini?
Daktari ana part time kwenye vizahanati, wewe unakuwa wapi?
Diploma aombwe research title na degree students? You can't be seriousTajiri kwani ukiwa na masters ndio unakua nani/nini labda mpaka usitumwe na mwenye diploma ?
Utendaji kazi/kazi nyingine zinahitaji akili tofauti na shule au vyeti (mng'ao)(takataka)
Just imagine diploma graduate anafatwa na wanafunzi wa degree wanaomba research titles haya baada ya hapo 80% research inafanywa na diploma then kesho huyu diploma holder unadhan ataendeshwa na vilaza? Kisa tu wana masters?
Kumbuka ....Kuna shule af kuna elimu.
850k siyo pesa wala nini. Kwa daktari aliyesoma miaka 5+1 hiyo ilitakiwa iwe mshahara wa wikiYaani take home ya karibu 850k unaona bado ni ndogo kwa Tanzania hii
Yaani take home ya karibu 850k unaona bado ni ndogo kwa Tanzania hii 🫢
Walimu na mapolisi wasemeje sasa
Embu mpashe huyo mburula. Diploma holder anajua hata maana ya research title?Diploma aombwe research title na degree students? You can't be serious
Nchi ya HOVYO SANA HIINa sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?
Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.
Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Kodi,umeme,maji,chakula havifiki laki nne
Research si inafundishwa toka form 4[emoji849]Embu mpashe huyo mburula. Diploma holder anajua hata maana ya research title?
Waalimu wanze 840K labda wa science lakini sidhani.Chuki chuki chuki. ulitaka Diploma afya walipwe kiasi gani ndio ufrahi by the way basic salary ya kozi za afya diploma ni TGHS B 740k na mwalimu ni 840k if not mistaken ukiwa unawasilisha hoja jaribu kuweka kando chuki uliyonayo dhidi ya watu wengine
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Ukitoa gharama zote unabaki na rushwa.Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Hela ndogo sana hio mzee.At least take home iwe kama Mil 2 hivi ili mtu aweze kuishi maisha ya kawaida kabisa ya Kira za is
Ndio maisha yao hao jamaa. Wanavimba tu mitaani.Nimecheka mpaka majirani wametika nje ![emoji16]
Ahahahah.We mwanajeshi ushafyeka nyasi kipande chako leo?
Au uko zamu ya kulala getini?
Daktari ana part time kwenye vizahanati, wewe unakuwa wapi?
Hakuna Tajiri wa mshahara. Jichange na shughuli za ziada. Ndio maana siku hizi hospitali binafsi nyingi. Tunajiongeza huko ili mradi hatuibi cha mtuKwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
I like itYani Mungu aweze kuumba mbingu na dunia, halafu amuumbe binadamu, then Mungu aombe pesa kwa binadamu? Na hizi pesa si ni Man made? Ukitumia common sense huoni hapo dini zote ni Utapeli mtupu?
Hivi vitabu kuna verse watu wameingiza project zao binafsi siyo kweli, Mungu hawezi kumtegemea binadamu wakati ana uwezo wa kusema iwe na ikawa.