Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?

Huyo ni daktari vipi mwalimu hapo si ni lazima apumulie mipira
 
Tajiri kwani ukiwa na masters ndio unakua nani/nini labda mpaka usitumwe na mwenye diploma ?

Utendaji kazi/kazi nyingine zinahitaji akili tofauti na shule au vyeti (mng'ao)(takataka)

Just imagine diploma graduate anafatwa na wanafunzi wa degree wanaomba research titles haya baada ya hapo 80% research inafanywa na diploma then kesho huyu diploma holder unadhan ataendeshwa na vilaza? Kisa tu wana masters?

Kumbuka ....Kuna shule af kuna elimu.
Diploma aombwe research title na degree students? You can't be serious
 
Yaani take home ya karibu 850k unaona bado ni ndogo kwa Tanzania hii

Yaani take home ya karibu 850k unaona bado ni ndogo kwa Tanzania hii 🫢

Walimu na mapolisi wasemeje sasa
850k siyo pesa wala nini. Kwa daktari aliyesoma miaka 5+1 hiyo ilitakiwa iwe mshahara wa wiki
 
Na sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?

Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.

Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Nchi ya HOVYO SANA HII
 
Chuki chuki chuki. ulitaka Diploma afya walipwe kiasi gani ndio ufrahi by the way basic salary ya kozi za afya diploma ni TGHS B 740k na mwalimu ni 840k if not mistaken ukiwa unawasilisha hoja jaribu kuweka kando chuki uliyonayo dhidi ya watu wengine
Waalimu wanze 840K labda wa science lakini sidhani.
 
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
 
U
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Ukitoa gharama zote unabaki na rushwa.
 
We mwanajeshi ushafyeka nyasi kipande chako leo?
Au uko zamu ya kulala getini?
Daktari ana part time kwenye vizahanati, wewe unakuwa wapi?
Ahahahah.
Sasa masaa 10 ya kazi plus part time masaa 6 ni masaa 14 plus movement ya kutoka point A to point B lisaa 1-2.
Jumla masaa 17-18.
Kwahiyo Ili apate pesa ya ziada anapaswa kufanya kazi mpaka masaa 17 huoni kuwa huo ni zaidi ya utumwa na kujiua mwenyewe?
 
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Hakuna Tajiri wa mshahara. Jichange na shughuli za ziada. Ndio maana siku hizi hospitali binafsi nyingi. Tunajiongeza huko ili mradi hatuibi cha mtu
 
Yani Mungu aweze kuumba mbingu na dunia, halafu amuumbe binadamu, then Mungu aombe pesa kwa binadamu? Na hizi pesa si ni Man made? Ukitumia common sense huoni hapo dini zote ni Utapeli mtupu?

Hivi vitabu kuna verse watu wameingiza project zao binafsi siyo kweli, Mungu hawezi kumtegemea binadamu wakati ana uwezo wa kusema iwe na ikawa.
I like it
 
Na hiyo bodi ya mikopo izingatie sheria za nchi kwani nayo imeundwa kwa mujibu wa sheria! Maana yangu ni kuwa makato Yao sawa ila waachie watumishi moja ya tatu ya mshahara wao kama sheria ya utumishi inavyooelekeza.
Hivi bodi haizingatii mabaki ya theluthi moja ibaki kwa mdaiwa bali inafyeka tu. Hivi siyo sawa kwani mdaiwa yupo Sana kwenye ajira kwa zaidi ya miaka ishirini na au wasubiri kumkata mabaki kwenye kiinuamgongo chake!
Waache kuwaumizo wadeni wao.
 
Back
Top Bottom