Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Better off than the others
 
Kuna mtu anaingia bungeni anasinzia tu, akishtuka anagonga gonga meza kikao kikiisha anapokea posho, jioni unamkuta rainbow au bambalaga, then mwisho wa mwezi anakunja mara 10 ya hicho kipato. Amaa kweli dunia uwanja wa fujo
Inaumizaa, [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Stiv Ake, Mwijaku na Babalevo wanakusanya Zaid ya 10 Kwa mwez
 
Dini zinaenezwa kwa misingi ya kuwajaza hofu wajinga.

Jaribu kukaa na wanazuoni ambao theology imelala utaelewa dhahiri Kamba na fix tunazopigana na kujazana hofu, fear of unknown.

Mungu hawezi kuomba pesa kwa binadamu.
Kweli kabisa!!!! Binadamu tumeumbwa tuje Duniani kumtukuza Mungu Kisha utakufa na mwisho wako ndio hapo... Ukuu wa Mungu haulipwi Kwa pesa, Je utampa Mungu kiasi gani Ili umshukuru alivyoumba bahari, Milima, mabonde, anga nk
 
Maisha ya mtanzania ya kawaida sana, hata kwa asie Soma bajeti ya kula ikiwa 300000. Inatosha sana, ila tu madokta wengi ni maskini. Atawaza kutanua bila kujilinda
 
Ukienda kwenye biashara utajuta kuzaliwa. Huku kuna kodi, tozo na ada kibao. Bado fire tingisha, osha, efd, ada ya mazingira, brela, mwenge, tbs,tmda, heslb, nhif, nssf- bora mbaki huko huko serikalini
Mnavoongea. Kama mnazilipa hizo kodi.

Ukiwa mfanyakazi hakuna kukwepa kodi.
 
Umeongea ukweli lakini hakuna atakaye jali huko serikalini. Mi nadhani altenative ni kuajiriwa kisha una jiajiri, Serikali hii sikivu iliisha choka sana. Wao siku hizi wanajenga hospitali na madarasa ya shule tu. Hizo stahiki sijui hata kama wanaweza tena. Watumishi wamekuwa wengi sana, na kodi tunalipa sisi hawa hawa.
 
Ndio maana una masters na bado unatumwa na wenye diploma!

Una akili za kipumbavu! Na umekoment upumbavu!

Full stop!
Tajiri kwani ukiwa na masters ndio unakua nani/nini labda mpaka usitumwe na mwenye diploma ?

Utendaji kazi/kazi nyingine zinahitaji akili tofauti na shule au vyeti (mng'ao)(takataka)

Just imagine diploma graduate anafatwa na wanafunzi wa degree wanaomba research titles haya baada ya hapo 80% research inafanywa na diploma then kesho huyu diploma holder unadhan ataendeshwa na vilaza? Kisa tu wana masters?

Kumbuka ....Kuna shule af kuna elimu.
 
Bado Mkopo wa Bank
 
Mbona mnalalamika sana?, Sasa kwann wasingejisomesha badala yake wakaApply mkopo HESLB?, Huoni makato ya mkopo wa HESLB 222,000 kwa mwezi hapo yalivyo makubwa. Hayo makato mengine ni halali kabisa kwa ambaye hakuchukua mkopo wa masomo. Na hapo bado hujaweka makato ya chama cha wafanyakazi kwa daktari aliyeko serikalini.
 
Kuna mtumishi asiyekatwa hizo kodi? GDP ya nchi yako inawezesha ulipwe mabilioni?Weka ka chumvi ka uzalendo tumikia nchi wakati yanaboreshwa mdogo mdogo,au sio daktari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…