savo
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 293
- 233
Kuwa serikalini harufungwi kutafuta fursa zingine nje ya kazi yako, kikubwa ishughulishe akili ili uwe na vyanzo vingi vya mapato Kwakutegemea mshahara na hizi familia za kiafrica utaona Kama pesa yako wananyaga wanyaguzi na kuishia Madeni tu [emoji16][emoji24]