Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Hiv barabara ya machame ishajengwa?
Mbowe si ndo mbunge wa huko?
At vijiji...so tunatishana sio...
Kama unataka battle mimi nakuja na wilaya moja tu ya muleba..
Moja ya barabara huko machame.
Naomba usikimbie pleaseView attachment 2812726
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Asante Mkuu asee ni kwl kabisaUsimuelezee sana mtu usiyemjua.
Watu tumefahamiana tu mjini hapa,hakuna anayemjua mwenzake kiundani.
Lakini pia,siasa yenyewe ni biashara inayolipa vizuri tu.
Nikimkumbuka Nalaila kiula kwake kule kiomboi aisee ni hatari, ngoja nipige kimya.Kitendo cha kujenga kijijini alipozaliwa ni Ishara kwamba tulipozaliwa ni muhimu kuliko tulipokulia au tunapigia mishemishe.
Wote tungejenga makwetu na kupaendeleza leo tusingekuwa na vijiji tungekuwa na mitaa nchi nzima
Wapo viongozi hapa nchini hata nyumba ya kawaida tu kwao hawana. Mawaziri wengi vijijini kwao hakuna nyumba, wabunge ndo usiseme bila kusahau makatibu wakuu na wakurugenzi .
Tungekuwa na sera yakujenga vijijini hata umeme na maji, barabara na huduma za afya isingekuwa shida
Ile nyumba ya Mbowe haikosi umeme, maji yapo, hospital lazima ipo karibu nk
Ila vyote hivyo vimepelekwa kwa sababu watu wamewekeza
Sisi watu wa kanda ya ziwa tutaendelea kulalamika ila ukweli lazima tukubali vijijini tulipotoka.......JPM alifanya kile mwanasiasa anapaswa kufanya kwao......let us think about our home villages
Watu ni wajinga sana🤣
Picha ya miaka gani hii mkuu. Machame kwa sasa hakuna jiografia ya namna hii, kote huko ni mkekaHiv barabara ya machame ishajengwa?
Mbowe si ndo mbunge wa huko?
At vijiji...so tunatishana sio...
Kama unataka battle mimi nakuja na wilaya moja tu ya muleba..
Moja ya barabara huko machame.
Naomba usikimbie pleaseView attachment 2812726
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
analipa kodi zote muhimu na anajiendesha kwa kuzingatia sheria za nchi.
Mbona kafanana na huyo dogo aliyekuwa anatoka na mke wa Masanja. Angalia picha vizuri 🤣Watu ni wajinga sana🤣
Huyo mtoto ni wake jamani.
Anafanana na mama yake.
Kama sikosei, ana nyumba pia nje ya nchi, possibly, Dubai.Wivu wa nyumba yako utanila:Maskini wengi comments zao hapa ni za wivu Wengi wanaona wivu, hawajui Mbowe hizi fedha anazo kabla wao hawajazaliwa: Hapo ni Kijijini Machame, wacha Dar, Arusha na Mwanza kote ana makazi :
Hamna bwanaMbona kafanana na huyo dogo aliyekuwa anatoka na mke wa Masanja. Angalia picha vizuri 🤣
Wamenisaidia tayari dada Wa picha maelezoHii picha inahusianaje na stori ya Masanja?
UWT si ndio "Usalama Wa Taifa" kwa humu JF tangu ilipoanzishwa!!??Mkuu umekuza sana mambo, sioni uhusiano wowote kati ya UWT na Mbowe. Watu wangapi wa usalama wa taifa ambao hawajapitia UWT wala skauti?.
[emoji23]Wamenisaidia tayari dada Wa picha maelezo
Marahic = marahisiBro hiv kwanini watz hawakubali ukweli. Mkubali mtu akifanikiwa acha ngonjera. Kwani Baba yake mbowe alikuwa na watoto wangapi na ni wangapi wamefanikisha ndoto zao. Simpo tuache roho za kichawi maisha ni marahic sana ukikubali ukweli na kuukabili.
Mkuu kuna jambo hili hapa, unapoona mwenzako kafanikiwa iwe unamjua au humjui achana na kufukunyua kutaka kujua njia aliyopitia wewe msikilize atakachosena nimepitia hapa hadi kufika hapa.Usimuelezee sana mtu usiyemjua.
Watu tumefahamiana tu mjini hapa,hakuna anayemjua mwenzake kiundani.
Lakini pia,siasa yenyewe ni biashara inayolipa vizuri tu.
TANROADS wamekosa weledi. Au walienda shuleni kusomea ujinga?Acha roho mbaya😂
Wivu tuTANROADS wamekosa weledi. Au walienda shuleni kusomea ujinga?
Mkuu kuna jambo hili hapa, unapoona mwenzako kafanikiwa iwe unamjua au humjui achana na kufukunyua kutaka kujua njia aliyopitia wewe msikilize atakachosena nimepitia hapa hadi kufika hapa.
Hizo nyingine ni hadithi tu.
Mkimtolea mfano Mark wa Facebook au huyu wa JF mbona hampingi?.
Nyie mteteeni tu mke wa MasanjaHamna bwana
Huyu mtoto anafanana na mama yake.