Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

Hiv barabara ya machame ishajengwa?

Mbowe si ndo mbunge wa huko?

At vijiji...so tunatishana sio...

Kama unataka battle mimi nakuja na wilaya moja tu ya muleba..



Moja ya barabara huko machame.

Naomba usikimbie pleaseView attachment 2812726

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app

Wakati nchi inapata uhuru tayari lami ilishafika Machame. Alafu sina nguvu za kubishana na wewe wakati ukweli unajulikana na uko wazi.
 
Kitendo cha kujenga kijijini alipozaliwa ni Ishara kwamba tulipozaliwa ni muhimu kuliko tulipokulia au tunapigia mishemishe.

Wote tungejenga makwetu na kupaendeleza leo tusingekuwa na vijiji tungekuwa na mitaa nchi nzima

Wapo viongozi hapa nchini hata nyumba ya kawaida tu kwao hawana. Mawaziri wengi vijijini kwao hakuna nyumba, wabunge ndo usiseme bila kusahau makatibu wakuu na wakurugenzi .


Tungekuwa na sera yakujenga vijijini hata umeme na maji, barabara na huduma za afya isingekuwa shida

Ile nyumba ya Mbowe haikosi umeme, maji yapo, hospital lazima ipo karibu nk

Ila vyote hivyo vimepelekwa kwa sababu watu wamewekeza

Sisi watu wa kanda ya ziwa tutaendelea kulalamika ila ukweli lazima tukubali vijijini tulipotoka.......JPM alifanya kile mwanasiasa anapaswa kufanya kwao......let us think about our home villages
Nikimkumbuka Nalaila kiula kwake kule kiomboi aisee ni hatari, ngoja nipige kimya.
 
Hiv barabara ya machame ishajengwa?

Mbowe si ndo mbunge wa huko?

At vijiji...so tunatishana sio...

Kama unataka battle mimi nakuja na wilaya moja tu ya muleba..



Moja ya barabara huko machame.

Naomba usikimbie pleaseView attachment 2812726

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Picha ya miaka gani hii mkuu. Machame kwa sasa hakuna jiografia ya namna hii, kote huko ni mkeka
 
analipa kodi zote muhimu na anajiendesha kwa kuzingatia sheria za nchi.
emoji419.png
emoji375.png
 
Wivu wa nyumba yako utanila:Maskini wengi comments zao hapa ni za wivu Wengi wanaona wivu, hawajui Mbowe hizi fedha anazo kabla wao hawajazaliwa: Hapo ni Kijijini Machame, wacha Dar, Arusha na Mwanza kote ana makazi :
Kama sikosei, ana nyumba pia nje ya nchi, possibly, Dubai.
 
Bro hiv kwanini watz hawakubali ukweli. Mkubali mtu akifanikiwa acha ngonjera. Kwani Baba yake mbowe alikuwa na watoto wangapi na ni wangapi wamefanikisha ndoto zao. Simpo tuache roho za kichawi maisha ni marahic sana ukikubali ukweli na kuukabili.
Marahic = marahisi
 
Usimuelezee sana mtu usiyemjua.
Watu tumefahamiana tu mjini hapa,hakuna anayemjua mwenzake kiundani.

Lakini pia,siasa yenyewe ni biashara inayolipa vizuri tu.
Mkuu kuna jambo hili hapa, unapoona mwenzako kafanikiwa iwe unamjua au humjui achana na kufukunyua kutaka kujua njia aliyopitia wewe msikilize atakachosena nimepitia hapa hadi kufika hapa.

Hizo nyingine ni hadithi tu.
Mkimtolea mfano Mark wa Facebook au huyu wa JF mbona hampingi?.
 
Mkuu kuna jambo hili hapa, unapoona mwenzako kafanikiwa iwe unamjua au humjui achana na kufukunyua kutaka kujua njia aliyopitia wewe msikilize atakachosena nimepitia hapa hadi kufika hapa.

Hizo nyingine ni hadithi tu.
Mkimtolea mfano Mark wa Facebook au huyu wa JF mbona hampingi?.

Tabia ya kuhamasika na kila yanayoonekana kuwa ni mafanikio ndio imefanya vijana wengi kukata tamaa na kuishia kujiua au kulewa wakati wote.

Unaiona nyumba nzuri ya mbowe,unahamasika unaamua kuiga anachofanya kwa nia nzuri kabisa.
Yah,Kwanini huyu auze simu mpaka ananunua range mimi nishindwe!!!

Unaamua kuingia zako field ukiwa na viapo vyote,ukiishatia mguu ndipo unagundua hapa hakuna cha kuuza simu tunapangana kilofa tu.
 
Back
Top Bottom